Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.
Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.
#MaendeleoHayanaChama
View attachment 2450824
1 - عن ابن عباس رضي الله عنهما أن رسول الله قال: "لا ينظر الله عز وجل إلى رجلٍ أتى رجلاً أو امرأةً في دبرها" رواه الترمذي والنسائي وابن حبان في صحيحه
Imepokewa kutoka kwa Ibn 'Abbas رضي الله عنهما akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Mungu hatomuangalia kwa jicho la huruma mtu aliye muingilia mwanamke utupu wa nyuma." Ameipokea Tirmidhi, Nasai na Ibn Hibban kwenye kitabu chake Swahihi.
2 - عن عبدالله بن عمروٍ رضي الله عنهما أن النبي قال: "هي اللوطيةُ الصغرى يعني الرجل يأتي امرأته في دبرها" رواه أحمد والبزار، ورجالهما رجال الصحيح
Imepokewa kutoka kwa 'Abdullahi bin 'Amr رضي الله عنهما akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Kufanya hivyo ni Uluti-mdogo, yaani mwanamume kumuingilia mkewe utupu wa nyuma." Ameipotea Ahmad na Al-Bazzar.
3- عن عمر رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "استحيوا فإن الله لا يستحي من الحق، ولا تأتوا النساء في أدبارهن" رواه أبو يعلى بإسناد جيد
Imepokewa kutoka kwa Ibn 'Umar رضي الله عنهما akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Kuweni na hara; kwani Mwenyezi Mungu haonei haya Hakki, hivyo msiwaingilie wanawake kwenye tupu zao za nyuma." Ameipokea Abu Y'la kwa Isnadi nzuri.
لعن الله الذين يأتون النساء في محاشهن
MWENYEZI MIUNGU AMEWALAANI WANAUME WANAO WAINGILIA WANAWAKE KWEYE TUPU ZAO ZA NYUMA!
4 - عن خزيمة بن ثابتٍ رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "إن الله لا يستحي من الحق ثلاث مراتٍ، لا تأتوا النساء في أدبارهن" رواه ابن ماجة، واللفظ له، والنسائي بأسانيد، أحدها جيد
Imepokewa kutoka kwa Khuzayma bin Thabit رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Mungu haonei haya kusema Hakki (amekariri maneno hayo mara tatu): Msiwaingilie wanawake kwenye tupu zao za nyuma!" Ameipokea Ibn Majah, na matamshi haya ni kutoka riwaya yake. vile vile ameipokea Nasai kwa Isnad nyingi, moja wapo ni nzuri sana.
5 - عن جابر رضي الله عنه: "أن النبي نهى عن مَحَاشِّ النساء" رواه الطبراني في الأوسط، ورواته ثقات، والدارقطني. ولفظه: "إن رسول الله قال: استحيوا من الله فإن الله لا يستحي من الحق، لا يحلُّ مأتاك النساء في حُشُوشِهنَّ"
Imepokewa kutoka kwa Jabir رضي الله عنه akisema: Amekataza Mtume ﷺ kuwaingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma." Ameipokea Twabarani katika kitabu chake Al-Awswat, na wapokezi wake ni wakweli, na ameipokea, vile vile, Ad-Dara Qutni. Riwaya yake inasema: Amesema Mtume ﷺ : "Muoneeni haya Mwenyezi Mungu; kwani Mwenyezi Mungu haonei haya kusema kweli. Si halali kuwaingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma."
6 - عن عقبة بن عامرٍ رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "لعن الله الذين يأتون النساء في محاشهنَّ" رواه الطبراني من رواية عبدالصمد بن الفضل. [ المحاش]: بفتح الميم وبالحاء المهملة وبعد الألف شين معجمة مشددة، جمع محشة بفتح الميم وكسرها، وهي الدبر
Imepokewa kutoka kwa 'Uqba bin 'Amir رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Mungu awalaani wenye kuwaingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma." Ameipokea Twabarani kutoka kwa Abdus-swamad bin Al-Fadhl. Na neno محاش maana yake utupu wa nyuma [kinyo]
7 - عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "من أتى النساء في أعْجَازِهنَّ) فقد كفر" رواه الطبراني في الأوسط، ورواته ثقات.
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Ataye muingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma amekufuru." Ameipokea Twabarani katika Al-Awswat, na wapokezi wake ni wasema kweli; waaminifu.
8 - وروى ابن ماجة والبيهقي، كلاهما عن الحارث بن مخلد عن أبي هريرة رضي الله عنه عن النبي قال: "لا ينظر الله إلى رجلٍ جامع امرأةً في دبرها"
Na Ibn Majah na Al-Bayhaqi wamepokea Hadithi kutoka kwa Al-Harith bin Mikhlad kutoka kwa Abu Hurayra akiseama: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Miungu hatomuanglia mtu aliye mjamii mkewe kupitia mlango wake wa nyuma."
9 - عن أبى هريرة رضي الله عنه أن رسول الله قال: "ملعونٌ من أتى امرأة في دبرها" رواه أحمد وأبو داود.
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Amelaanika mwenye kumuingilia mwanamke kwenye utupu wake wa nyuma." Ameipokea Ahmad na Abu Daud.
10 - وعنه رضي الله عنه: أن رسول الله قال: "من أتى حائضاً أو امرأة في دبرها أو كاهناً فَصَدَّقَهُ كفر بما أُنزلَ على محمدٍ " رواه أحمد والترمذي والنسائي وابن ماجة وأبو داود إلا أنه قال: فقد برئ مما أُنزلَ على محمدٍ،
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra, vile vile, akiseama: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenye kumuingiia mwanamke akiwa kwenye Hedhi, au akimuingilia kupitia utupu wake wa nyuma, au akimsadiki mpiga ramli [mpiga bao] kisha akamuamini basi amekufuru alicho teremshiwa Muhammad." Ameipokea Ahmad, Tirmidhi, Nasai, Ibn Maja na Abu Daud. Ila Riwaya ya Abu Daud inamalizia kwa kusema: "...amejivua kutokana na alicho teremshiwa Muhammad."
Kuna Hadithi nyingi zenye kuzungumzia uharamu wa kumuingilia mwanamke kwenye utupu wake wa nyuma, na zote zinataja adhabu kali kali.
Na dhambi za hatia hiyo anazibeba, kimsingi, mwanamume, isipokuwa ikiwa mwanamke na yeye mwenyewe amechangia au kutaka afanywe hivyo. Hapo wote wawili ni chungu kimoja.
والله أعلم
وبالله التوفيق
السيد عبد القادر شريف آل الشيخ أبى بكر بن سالم
Imejibiwa na Sayyid Abdulqadir Shareef