Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Aache uongo, kwani walipobomoa kanisa la KKKT pale Zakhem, kule Mbagala, mataifa ya magharibi walihusika..!!??

Walipobomoa mabucha ya nguruwe pale kariakoo mwaka 1994 mataifa ya magharibi yalihusika.!??
 
Pale mwembechai unakumbuka
Aache uongo, kwani walipobomoa kanisa la KKKT pale Zakhem, kule Mbagala, mataifa ya magharibi walihusika..!!??

Walipobomoa mabucha ya nguruwe pale kariakoo mwaka 1994 mataifa ya magharibi yalihusika.!??
 
Historia inatoa taswira ya tofauti kabisa kuhusu hii hoja. Watu wa DINI ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na mikono yenye damu za maelfu kama siyo mamilioni ya raia wasio na hatia. Tangu kuanzishwa kwa dola la kwanza la Kiislamu (The Rashidun Caliphate) mnamo karne ya 7, hakuna amani yoyote ile ambayo ililetwa kwa watu ambao siyo waislamu.

Nabii wa waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita zisizopungua tisini kwenye miaka yake ya mwisho ili kuweza kuunganisha ghuba nzima ya Uajemi (The Persian Gulf) kama dola moja la kiislamu. Warithi wake Khalifa Ab Bakr na Umar walianzisha vita dhidi ya madola kama Uajemi (The Sassanian Empire) na Rumi (The Eastern Roman Empire), kama mbinu za kupata ardhi na kueneza uislamu.

Wale waliovamiwa na majemedari wa vita wa kiislamu kama Al-Qaqa-Bin-Amar, Khalid Ibn Walid, Amar Ibn Alas, Ubadah n.k walipewa haya masharti magumu matatu. Mosi, jiunge na Uislamu (Convert to Islam), Pili, lipa Kodi (Pay the Jizya), na tatu, Uuawe (Death). Mnaposema Uislamu ni dini ya amani mnataka kutuambia nini labda: Hivi unadhani waislamu waliweza kutengeneza dola kubwa ambalo limeanzia kwenye mipaka ya Uchina (Tang China) hadi kufika Uhispania (Spain) kwa kuimba Kaswida na kutafuna tende ? Majambia, Mikuki, Damu na Farasi vilitumika.

Ukija kwa WAYAHUDI ndiyo usiseme, ukisoma BIBLIA unaweza ukaogopa. Hawa Torati yao inaruhusu kabisa kuua mtu kama sehemu ya Ibada. Hata BWANA YESU pamoja na mitume wake wa kanisa la kwanza hakuuwawa na wapagani, bali WAYAHUDI ambao ni wafia dini. Mtume Paulo alikuwa ni mmoja ya wauaji wakubwa wa kiyahudi kuwahi kutokea mnamo karne ya kwanza.

Ukitaka uthibitisho wa hili, nenda kajaribu kushindana na WAZAYUNI waliotokea Ulaya ndiyo utaona. Waarabu na ukichaa wao wote, walijaribu na walichokipata hawaamini mpaka leo hii. Yule ndugu yetu muimba muziki anayejiita "YE" walimfirishi Trilioni mbili na ndani ya usiku mmoja kisa aliwakosoa. Hapa kuna amani gani bwana wewe ?

WAKRISTO, hasa wale wenye macho ya bluu na wavaa rozari ndiyo wanaogopesha zaidi. Zingatia haya matukio waliowahi kuyafanya kwenye historia :
  • Theodosius Pogroms of Jews and Non-Christians.
  • The Urbanite Crusades in the Holy Land.
  • The Sacking of Constantinople by Crusaders.
  • The Spanish Inquisition.
  • The Massacre of Huguenots.
Wale wengine wanaojiita WAPROTESTANTI na WALOKOLE hawako nyuma kabisa. Mambo waliyoyafanya kwa binadamu wenzao wenye ngozi nyeusi na nyekundu kule Marekani nadhani, mtu yoyote muungwana akiyafahamu lazima atazitazama hizi dini kwa jicho la kitofauti sana.

NB: Kiufupi watu wenye dini ni hatari mno kwa usalama na ustawi wa dunia.....
Je American crusade war?
 
Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.

Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2450824

1 - عن ابن عباس رضي الله عنهما أن رسول الله قال: "لا ينظر الله عز وجل إلى رجلٍ أتى رجلاً أو امرأةً في دبرها" رواه الترمذي والنسائي وابن حبان في صحيحه
Imepokewa kutoka kwa Ibn 'Abbas رضي الله عنهما akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Mungu hatomuangalia kwa jicho la huruma mtu aliye muingilia mwanamke utupu wa nyuma." Ameipokea Tirmidhi, Nasai na Ibn Hibban kwenye kitabu chake Swahihi.

2 - عن عبدالله بن عمروٍ رضي الله عنهما أن النبي قال: "هي اللوطيةُ الصغرى يعني الرجل يأتي امرأته في دبرها" رواه أحمد والبزار، ورجالهما رجال الصحيح
Imepokewa kutoka kwa 'Abdullahi bin 'Amr رضي الله عنهما akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Kufanya hivyo ni Uluti-mdogo, yaani mwanamume kumuingilia mkewe utupu wa nyuma." Ameipotea Ahmad na Al-Bazzar.

3- عن عمر رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "استحيوا فإن الله لا يستحي من الحق، ولا تأتوا النساء في أدبارهن" رواه أبو يعلى بإسناد جيد
Imepokewa kutoka kwa Ibn 'Umar رضي الله عنهما akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Kuweni na hara; kwani Mwenyezi Mungu haonei haya Hakki, hivyo msiwaingilie wanawake kwenye tupu zao za nyuma." Ameipokea Abu Y'la kwa Isnadi nzuri.

لعن الله الذين يأتون النساء في محاشهن
MWENYEZI MIUNGU AMEWALAANI WANAUME WANAO WAINGILIA WANAWAKE KWEYE TUPU ZAO ZA NYUMA!

4 - عن خزيمة بن ثابتٍ رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "إن الله لا يستحي من الحق ثلاث مراتٍ، لا تأتوا النساء في أدبارهن" رواه ابن ماجة، واللفظ له، والنسائي بأسانيد، أحدها جيد
Imepokewa kutoka kwa Khuzayma bin Thabit رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Mungu haonei haya kusema Hakki (amekariri maneno hayo mara tatu): Msiwaingilie wanawake kwenye tupu zao za nyuma!" Ameipokea Ibn Majah, na matamshi haya ni kutoka riwaya yake. vile vile ameipokea Nasai kwa Isnad nyingi, moja wapo ni nzuri sana.

5 - عن جابر رضي الله عنه: "أن النبي نهى عن مَحَاشِّ النساء" رواه الطبراني في الأوسط، ورواته ثقات، والدارقطني. ولفظه: "إن رسول الله قال: استحيوا من الله فإن الله لا يستحي من الحق، لا يحلُّ مأتاك النساء في حُشُوشِهنَّ"
Imepokewa kutoka kwa Jabir رضي الله عنه akisema: Amekataza Mtume ﷺ kuwaingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma." Ameipokea Twabarani katika kitabu chake Al-Awswat, na wapokezi wake ni wakweli, na ameipokea, vile vile, Ad-Dara Qutni. Riwaya yake inasema: Amesema Mtume ﷺ : "Muoneeni haya Mwenyezi Mungu; kwani Mwenyezi Mungu haonei haya kusema kweli. Si halali kuwaingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma."

6 - عن عقبة بن عامرٍ رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "لعن الله الذين يأتون النساء في محاشهنَّ" رواه الطبراني من رواية عبدالصمد بن الفضل. [ المحاش]: بفتح الميم وبالحاء المهملة وبعد الألف شين معجمة مشددة، جمع محشة بفتح الميم وكسرها، وهي الدبر
Imepokewa kutoka kwa 'Uqba bin 'Amir رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Mungu awalaani wenye kuwaingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma." Ameipokea Twabarani kutoka kwa Abdus-swamad bin Al-Fadhl. Na neno محاش maana yake utupu wa nyuma [kinyo]

7 - عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله : "من أتى النساء في أعْجَازِهنَّ) فقد كفر" رواه الطبراني في الأوسط، ورواته ثقات.
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Ataye muingilia wanawake kwenye tupu zao za nyuma amekufuru." Ameipokea Twabarani katika Al-Awswat, na wapokezi wake ni wasema kweli; waaminifu.

8 - وروى ابن ماجة والبيهقي، كلاهما عن الحارث بن مخلد عن أبي هريرة رضي الله عنه عن النبي قال: "لا ينظر الله إلى رجلٍ جامع امرأةً في دبرها"
Na Ibn Majah na Al-Bayhaqi wamepokea Hadithi kutoka kwa Al-Harith bin Mikhlad kutoka kwa Abu Hurayra akiseama: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenyezi Miungu hatomuanglia mtu aliye mjamii mkewe kupitia mlango wake wa nyuma."

9 - عن أبى هريرة رضي الله عنه أن رسول الله قال: "ملعونٌ من أتى امرأة في دبرها" رواه أحمد وأبو داود.
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضي الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : "Amelaanika mwenye kumuingilia mwanamke kwenye utupu wake wa nyuma." Ameipokea Ahmad na Abu Daud.

10 - وعنه رضي الله عنه: أن رسول الله قال: "من أتى حائضاً أو امرأة في دبرها أو كاهناً فَصَدَّقَهُ كفر بما أُنزلَ على محمدٍ " رواه أحمد والترمذي والنسائي وابن ماجة وأبو داود إلا أنه قال: فقد برئ مما أُنزلَ على محمدٍ،
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra, vile vile, akiseama: Amesema Mtume ﷺ : "Mwenye kumuingiia mwanamke akiwa kwenye Hedhi, au akimuingilia kupitia utupu wake wa nyuma, au akimsadiki mpiga ramli [mpiga bao] kisha akamuamini basi amekufuru alicho teremshiwa Muhammad." Ameipokea Ahmad, Tirmidhi, Nasai, Ibn Maja na Abu Daud. Ila Riwaya ya Abu Daud inamalizia kwa kusema: "...amejivua kutokana na alicho teremshiwa Muhammad."

Kuna Hadithi nyingi zenye kuzungumzia uharamu wa kumuingilia mwanamke kwenye utupu wake wa nyuma, na zote zinataja adhabu kali kali.

Na dhambi za hatia hiyo anazibeba, kimsingi, mwanamume, isipokuwa ikiwa mwanamke na yeye mwenyewe amechangia au kutaka afanywe hivyo. Hapo wote wawili ni chungu kimoja.

والله أعلم
وبالله التوفيق

السيد عبد القادر شريف آل الشيخ أبى بكر بن سالم‎ ‎

Imejibiwa na Sayyid Abdulqadir Shareef
 
Uislam haukubaliki hadi upiganiwe na wakrsto [emoji16]

Acha kudhalilisha dini yetu
 
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Mtu awezi kuja nyumbani kwako halafu akuponde, atakusifia hata kwa mgongo wa chupa.

Na mzungu akijua wewe ni moenda sifa kwake kukusifia sii tabu.

Huwa naona watalii , wakija Africa huwa wanajitahidi kujaribu vyakula vya Africa , vingine ambavyo sisi wenyewe kutokana na jamii zetu tunaviona vibaya , itsona anakula huku kakunya iso lakini atakuambia " nice food" hiyo ni tabia za watu waliostaarabika. Hawawezi bkupiga kelele hata kama kitu ni kibaya kwao, wanavumilia tuu ili kutunza mahusiano
 
Quran Imeandikwa Imeshushwa na SHETANI kwa Msaada wa MAPEPO ,MAJINI NA MASHETANI kwa Kushirikiana na MWAMEDIII na ROMAN VATICAN NDIO WAASISI.
MPINGA KRISTO.
 
Quran Imeandikwa Imeshushwa na SHETANI kwa Msaada wa MAPEPO ,MAJINI NA MASHETANI kwa Kushirikiana na MWAMEDIII na ROMAN VATICAN NDIO WAASISI.
MPINGA KRISTO.
Kwa mtiririko huu, itakuwa imepita mikono mingi sana
 
Well said lkn
Hii hapa ndio WAR COMMAND katika UISLAM
na vita vilipiganwa katika misiingi hiyo
Na maswahaba baaada KIFO cha mtume walifata misingi hiyo katika kueneza DINI
Na hayo ndio mafundisho katika UISLAMView attachment 2450807
WAR is a word used to legalize and romanticize MASS MURDER.......

Kiufupi, sheria ambazo zimewekwa ni tofauti kabisa na uhalisia wa vita ambao ulitokea kihistoria. Sisi tuliowahi kusomea haya masomo tunaufahamu ukweli ulivyo kwamba kuna kitu huitwa FOG OF WAR, ambacho hufanya wanajeshi wawe kama wanyama. Nikupe mfano mzuri tu, kasome THE SIEGE OF JERUSALEM uone kama wanajeshi wa kiislamu walifuata hizi sheria za mtume.

Lakini kubwa zaidi ambalo naomba nijibiwe, kwanini waislamu walianza kuvamia nchi za watu ambao hata hawakuwa na mpango nao, na kuanza kuwalazimisha wafuate dini yao ?? Nini kitawazuia waislamu wa leo hii kufanya yale yale waliyoyafanya Kalif Ab Bakr na Umar kwa sisi mnaotuita MAKAFIR endapo mtakuwa na nguvu ??
 
Kwa upande wangu dini ya kiislamu ni nzuri na inamjenga mtu kuwa na hofu ya Mungu pamoja na nidhamu n.k

Ila mafundisho yao yamejikita kwenye kujikumbatia wao, Mafunzo yao yanazalisha chuki na ubaguzi kwa wengine au kutoshirikiana na wengine.
Mkuu si kweli katika watu wanaongoza kwa kushirikiana vizuri na watu ni waislamu
Na mashuhuda ni nyinyi wenyewe wakristo

Unamjua ERICK SHIGONGO
kasome HISTORIA ya maisha yake aliiwekaga katika GAZETI la ijumaa sijajua kama katoa kitabu ama lah
Amewaelezea WAISLAM na namna alivyokuwa anaishi nao huko HUKO kwao KIJIJINI wakati huo ametoka kusomea UUGUZI
 
Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.

Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2450824
Mkuu wngu hiyo siyo SURAT BAQARAH
SURAT BAQARAH wakati inashushwa
Imam shafii alikuwa hajurikani hata atazaliwa lini
sasa wewe umeokota wapi hicho kituko chako
Na katika QURAN nzima hakuna aya hata moja iliyomtaja IMAM SHAFII
 
Historia inatoa taswira ya tofauti kabisa kuhusu hii hoja. Watu wa DINI ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na mikono yenye damu za maelfu kama siyo mamilioni ya raia wasio na hatia. Tangu kuanzishwa kwa dola la kwanza la Kiislamu (The Rashidun Caliphate) mnamo karne ya 7, hakuna amani yoyote ile ambayo ililetwa kwa watu ambao siyo waislamu.
Huwa mkuu sipendi kubishana mambo ya dini ila kwa heshima yako naomba nikujibu hili, baada ya mtume kuanzisha dola ya kiisilamu, ni waisilamu waliowatetea wayahudi na kuwaweka kwenye himaya yao, golden age ya waisilamu ni golden age ya wayahudi pia, wayahudi walishika nafasi mbalimbali kwenye hizi dola mpaka Salahudin anapigana vita vyote physician wake ni myahudi ambaye mpaka leo wayahudi wengi wanamuona kama best scholar wa middle age alikua akiitwa Maimon ama jina jengine Rambam

Si wayahudi tu Mtume na dola ya kiisilamu ilisaidiana na wakristo kukomboa maeneo yao, mfano mzuri kabisa ni Egpty ambayo ilikuwa ikitawaliwa na Byzantine (Roman), na waisilamu kushirikiana na wakristo kuwatoa.
Nabii wa waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita zisizopungua tisini kwenye miaka yake ya mwisho ili kuweza kuunganisha ghuba nzima ya Uajemi (The Persian Gulf) kama dola moja la kiislamu. Warithi wake Khalifa Ab Bakr na Umar walianzisha vita dhidi ya madola kama Uajemi (The Sassanian Empire) na Rumi (The Eastern Roman Empire), kama mbinu za kupata ardhi na kueneza uislamu.
Again mkuu unadanganya ama hujaandika crucial part ya hivi vita, mtume alipigana hivi vita ama alipigwa na kujidefend mpaka kuwatoa hao wavamizi?

Hivi leo Hii Nyerere alikuwa ni mpenda vita? Alivyowasaidia msumbiji, South Africa na Nchi nyengine kupata uhuru alikuwa anafanya makosa?

Rumi walikuwa ni watawala wa kigeni ambao walikalia kimabavu maeneo yasiyo yao, mtume alipigana nao na kuwatoa kwa msaada mkubwa wa locals, vita vingi hivi vilipigwana hali ya kuwa waisilamu ni wachache sana dhidi ya mkoloni huyu wa zamani.
Wale waliovamiwa na majemedari wa vita wa kiislamu kama Al-Qaqa-Bin-Amar, Khalid Ibn Walid, Amar Ibn Alas, Ubadah n.k walipewa haya masharti magumu matatu. Mosi, jiunge na Uislamu (Convert to Islam), Pili, lipa Kodi (Pay the Jizya), na tatu, Uuawe (Death). Mnaposema Uislamu ni dini ya amani mnataka kutuambia nini labda:
Nitajie nchi moja tu duniani ambayo unaweza ukaenda na usilipe kodi, jizya ni ndogo sana compare na tunacholipa sasa. Na hii sheria haimhusu mtu asie muisilamu tu hata muisilamu analipa zaka, pia Jizya iliwahusu wenye uwezo tu, Masikini, wazee,na wengine wasiojiweza hawakuwa wakilipa. Uki convert kwa hela za sasa matajiri walikuwa wakilipa around 1.5m, na wenye maisha ya kati around 100,000.

Hivi unadhani waislamu waliweza kutengeneza dola kubwa ambalo limeanzia kwenye mipaka ya Uchina (Tang China) hadi kufika Uhispania (Spain) kwa kuimba Kaswida na kutafuna tende ? Majambia, Mikuki, Damu na Farasi vilitumika.
Uongo mwengine huu maeneo mengi hayo karibia na China wamesilimu kwa ajili ya biashara kasome historia ya indonesia na Nchi jirani na China kama Brunei, Malyasia, Ughuyr na wengineo walikuwaje waisilamu kama sio Wafanyabiashara wa kiisilamu waliokuwa waaminifu compare na wengine na kuwashawishi local.

China wenyewe mainland kutokana na uaminifu wa waisilamu na kuwa resistance kwenye rushwa wakachukua waisilamu kibao na kuwapa position kubwa, mpaka Great wall of China imejengwa na waisilamu.
Ukija kwa WAYAHUDI ndiyo usiseme, ukisoma BIBLIA unaweza ukaogopa. Hawa Torati yao inaruhusu kabisa kuua mtu kama sehemu ya Ibada. Hata BWANA YESU pamoja na mitume wake wa kanisa la kwanza hakuuwawa na wapagani, bali WAYAHUDI ambao ni wafia dini. Mtume Paulo alikuwa ni mmoja ya wauaji wakubwa wa kiyahudi kuwahi kutokea mnamo karne ya kwanza.

Ukitaka uthibitisho wa hili, nenda kajaribu kushindana na WAZAYUNI waliotokea Ulaya ndiyo utaona. Waarabu na ukichaa wao wote, walijaribu na walichokipata hawaamini mpaka leo hii. Yule ndugu yetu muimba muziki anayejiita "YE" walimfirishi Trilioni mbili na ndani ya usiku mmoja kisa aliwakosoa. Hapa kuna amani gani bwana wewe ?

WAKRISTO, hasa wale wenye macho ya bluu na wavaa rozari ndiyo wanaogopesha zaidi. Zingatia haya matukio waliowahi kuyafanya kwenye historia :
  • Theodosius Pogroms of Jews and Non-Christians.
  • The Urbanite Crusades in the Holy Land.
  • The Sacking of Constantinople by Crusaders.
  • The Spanish Inquisition.
  • The Massacre of Huguenots.
Wale wengine wanaojiita WAPROTESTANTI na WALOKOLE hawako nyuma kabisa. Mambo waliyoyafanya kwa binadamu wenzao wenye ngozi nyeusi na nyekundu kule Marekani nadhani, mtu yoyote muungwana akiyafahamu lazima atazitazama hizi dini kwa jicho la kitofauti sana.

NB: Kiufupi watu wenye dini ni hatari mno kwa usalama na ustawi wa dunia.....
Kifupi watu wasiomuamini mungu ni hatari sana nikukumbushe tu karne 1 iliopita wameua watu si chini ya milioni 100, tamaa za dunia ni mbaya sana, sema unachosema hakuna vita inayozidi vita ya kwanza ya dunia, ya pili ya dunia, vita ya korea, etc watu wanauliwa kama sisimizi.
 
Usikalilishwe mkuu, hayo mengine ni siasa, M23 sio waislamu, kony sio Muislamu, Russia sio waislamu Ukuraini sio Waislamu Burma sio waislamu mkuu epuka kua victim wa western media propaganda uwe unachambua.
Kilichokatokea likokona wilaya ya masasi haikuwa propaganda wewe mtoto alikutwa ostadh na vijana wake anawafunza karate vilimani kule
 
Ni very rare kukuta kauli za uadilifu ktk mioyo ya wakristo.....juu ya uislamu.
mimi naishi nao.

Hata wasike jema lolote. ( From vitabu & vitendo ) ..watababisha kwa mifano ya Al Qaeda, Boko Haram, IS etc. Huko ndo pa kutokea...
 
Back
Top Bottom