Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sisemi kwamba ilikuwa sahihi.Wewe unaona Samia kupita pasipo kupingwa na kutoshiriki kwenye kura za maoni ilikuwa sahihi?
Nasema kuwa, ingawa alichofanya Samia haikuwa sahihi, na ingawa kulitakiwa pingamizi, Polepole hakuwa na strategy ya kumpinga Samia kikamilifu na kumsimamisha.
Alijuwa anaongea tu mitandaoni bila strategy.
Na hata angemtoa, hakuwa na nia ya jufanya mageuzi ya ukweli ya kuiondoa CCM na kuondoa ufisadi, na kuondoa udikteta.
Alikuwa anataka kumtoa Samia ili amuingize mtu wake wa CCM. CCM iendelee kufanya ufisadi na udikteta kupitia mtu mwingine aliyemtaka yeye Polepole.
Ndiyo maana Samia kupita CCM, akafanya aliyoyafanya inaonesha Polepole hakuwa na strategy.
Umeelewa?