100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ngoja tusubiri...Huu ni uzushi mkuu!
Ngoja tusubiri...Huu ni uzushi mkuu!
Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..Mkuu hebu tutulize vichwa tutafakari. Mtu mwenye makosa ya mauaji na utekaji anakamatwa anapewa adhabu ya kuliwa tigo halafu anaachiwa.... inaingia akilini kweli? Mbona hii inaonekana ni uzushi kabisa? Halafu huyu kaka yake Polepole alishapotoa kwa muda baada ya ule mkwala wake. Aliposikia hii consipiracy huyo... naye akadakia. Nakupa assignment... jaribu kutulia uangalia clups za huyo anayedaiwa ni kaka yake utaona kuna walakini kwenye maongezi yake... sidhani kama ni mzima kichwani. Halafu pia nashindwa kuamini kwamba ni kanali wa jeshi anayehudumu. Pengine alishatolewa jeshini if aliwahi kuwa kanali kweli.
Mkuu kutoa taarifa haimaanishi ni clear. Matatizo ya akili yapo madogo sana sana au labda niseme ni mtu mwenye tabia au uelewa wa kiaina. Kniambia nisubiri huyo Augustino kuja kusema Mfwele kafanywa nini..... mh. hilo ndilo nakataa na hata akisema sitaamini. Angekuwa amefanyiwa lolote na ana uhakika kwa nini asiseme? NB Mafwele siyo mtu wa kuongea au kuonekana kwenye hadhara mara kwa mara na mtu anayeishi maisha ya kisirisiri sana.Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..
Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
Lakini Polepole alishasema kuna ndugu yake alikuwa akifuatiliwa na gari, Polepole akasema ndugu yake huyo ana mafunzo na awareness ya mazingira, ukija connect dots na hizi harakati za huyu jamaa pengine ndiye mlengwa.Mkuu kutoa taarifa haimaanishi ni clear. Matatizo ya akili yapo madogo sana sana au labda niseme ni mtu mwenye tabia au uelewa wa kiaina. Kniambia nisubiri huyo Augustino kuja kusema Mfwele kafanywa nini..... mh. hilo ndilo nakataa na hata akisema sitaamini. Angekuwa amefanyiwa lolote na ana uhakika kwa nini asiseme? NB Mafwele siyo mtu wa kuongea au kuonekana kwenye hadhara mara kwa mara na mtu anayeishi maisha ya kisirisiri sana.
Mkuu hebu tutulize vichwa tutafakari. Mtu mwenye makosa ya mauaji na utekaji anakamatwa anapewa adhabu ya kuliwa tigo halafu anaachiwa.... inaingia akilini kweli? Mbona hii inaonekana ni uzushi kabisa? Halafu huyu kaka yake Polepole alishapotoa kwa muda baada ya ule mkwala wake. Aliposikia hii consipiracy huyo... naye akadakia. Nakupa assignment... jaribu kutulia uangalia clups za huyo anayedaiwa ni kaka yake utaona kuna walakini kwenye maongezi yake... sidhani kama ni mzima kichwani. Halafu pia nashindwa kuamini kwamba ni kanali wa jeshi anayehudumu. Pengine alishatolewa jeshini if aliwahi kuwa kanali kweli.
Sasa kama anasubiriwa aje aseme. Wewe lini ulimwona mafwele anazungumzia mambo yake mitandaoni? Hata mimi naweza kutuma video kusema muulizeni Mulilo nimemfanya nini. Ajitokeze aseme. Unadhani mulilo kama ana akili timamu atapoteza huo muda na kunipa coverage? Huo ni uzushi. Angekuwa amefanya jambo angesema tu kuwa amefanya 1,2,3. Kwisha. Otherwise ana akili kama za kina kimange tu. Tunataka kuona utekelezaji siyo maneno matupu.Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..
Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
Tuendelee kusubiri..Sasa kama anasubiriwa aje aseme. Wewe lini ulimwona mafwele anazungumzia mambo yake mitandaoni? Hata mimi naweza kutuma video kusema muulizeni Mulilo nimemfanya nini. Ajitokeze aseme. Unadhani mulilo kama ana akili timamu atapoteza huo muda na kunipa coverage? Huo ni uzushi. Angekuwa amefanya jambo angesema tu kuwa amefanya 1,2,3. Kwisha. Otherwise ana akili kama za kina kimange tu. Tunataka kuona utekelezaji siyo maneno matupu.
Sikatai undugu wake na Polepole (japo nime-doubt). 1. Mimi nasema ni mtu mwenye something wrong with personality, ability au credibility. NB: Miaka mingi kidogo iliyopita alikuja rafiki yangu akanionyesha tangazo la kazi. Hilo tangazo lilikuwa linasema wanahitajika vijana wengi wa kufanya kazi ya ''kuweka barua kwenye bahasha na kufunga tayari kwa kuposti''. Mshahara ulikuwa mkubwa tu. Tangazo lilisema maombi ya kazi yaambatanishwe na sh. elfu kumi kama ada. Nilipatwa wasiwasi, nikamwambia ni kampuni gani itahitaji vijana wengi, zaidi ya 100, iwaajiri eti kazi yao, kila siku, asubuhi mpaka jioni, iwe ni kuweka tu barua kwenye bahasha kwa mshahara ule! Hiyo kampuni inaandika barua nyingi kiasi gani? Nikamwambia hiyo elfu kumi itaenda na maji. Yeye akabisha akasema hiyo elfu kumi ndiyo mtihani wenyewe. Alipigwa! Mfano wangu ni kukuonyesha jinsi mtu ambaye ''ameingizwa kingi'', ni vigumu kujitambua. Tuombe Mungu uzima, tusubiri, muda utaamua.Lakini Polepole alishasema kuna ndugu yake alikuwa akifuatiliwa na gari, Polepole akasema ndugu yake huyo ana mafunzo na awareness ya mazingira, ukija connect dots na hizi harakati za huyu jamaa pengine ndiye mlengwa.
Kingine angekuwa si ndugu yake familia ingemkana.. inaonekana jamaa ana kundi lake wanajadili cha kuongea na mikakati yao...
Pia angekuwa mwepesi wangeshamkamata, angekuwa akili imecheza wangesha mdhibiti...
Sawa mkuu, tuendelee kuwa wenye subira...Sikatai undugu wake na Polepole (japo nime-doubt). 1. Mimi nasema ni mtu mwenye something wrong with personality, ability au credibility. NB: Miaka mingi kidogo iliyopita alikuja rafiki yangu akanionyesha tangazo la kazi. Hilo tangazo lilikuwa linasema wanahitajika vijana wengi wa kufanya kazi ya ''kuweka barua kwenye bahasha na kufunga tayari kwa kuposti''. Mshahara ulikuwa mkubwa tu. Tangazo lilisema maombi ya kazi yaambatanishwe na sh. elfu kumi kama ada. Nilipatwa wasiwasi, nikamwambia ni kampuni gani itahitaji vijana wengi, zaidi ya 100, iwaajiri eti kazi yao, kila siku, asubuhi mpaka jioni, iwe ni kuweka tu barua kwenye bahasha kwa mshahara ule! Hiyo kampuni inaandika barua nyingi kiasi gani? Nikamwambia hiyo elfu kumi itaenda na maji. Yeye akabisha akasema hiyo elfu kumi ndiyo mtihani wenyewe. Alipigwa! Mfano wangu ni kukuonyesha jinsi mtu ambaye ''ameingizwa kingi'', ni vigumu kujitambua. Tuombe Mungu uzima, tusubiri, muda utaamua.
Mafwele alikua anaoga na mamba...Syndicate imesoma...😃
Umeshawahi kusoma SoMo la critical thinking ???Polepole alitaka kuonekana sana bila strategy. Huu ni ukweli.
Mtu anayeongea mitandaoni kumlazimisha rais asigombee urais bila mpango, akiwa Dar, anatumia mitandao ya Kitanzania, anaongea na wanasiasa wa Tanzania, hana strategy. Hiyo si chuki, hiyo ni fact.
He was just dumb. Alipenda kwenda live na kuongelewa zaidi ya kuweka strategic moves kujibu swali gumu, tunamuondoaje Samia?
Ndiyo maana kajionesha mitandaoni akiwa Dar mpaka kadakwa, akitaka kumlazimisha Samia asigombee urais, bila strategy yoyote.
Mimi nina maisha yangu yaliyo katika lane tofauti kabisa na hayo mambo ya siasa, naishi Marekani, napiga kazi zangu, sina ushindani na wanasiasa wa Tanzania, sasa naanzia wapi kumchukia Polepole mtu simjui? Nimchukie kwa nini?
Ukisema nina chuki sema nina chuki kwa sababu hii. Onesha nina chuki.
Vinginevyo mtu yeyote atakayeleta analysis kwamba Polepole alikuwa mjinga kufanya alichofanya, badala ya kuangalia mantiki kwa nini hiyu kasema hivi, uta hukumu mambo kindezi kwamba hizi ni chuki.
Mahaba yako kwa Polepole hayafanyi ninavhosema, kqma ni ukweli tu, kiwe chuki.
Ukweli ni ukweli tu, bila kujali mahaba yako yako wapi.
Sasa, prove mimi nina chuki kwa Polepole, logically, usiseme tu.
Mimi logic yangu ni kwamba Polepole alikuwa mjinga aliyesema mambo bila strategy. Ndiyo maana kadakwa, ndiyo maana kashindwa kumtoa Samia.
Sasa kusema hivyo inakuwaje chuki?
Kama mtu kafanya mambo kijinga, kusema huyu mjinga kafanya mambo kijinga inakuwaje chuki?
Nikisema yuke jamaa aliyejirusha ghorofani juu kabisa Morogoro Road na kuangukia Simtank akafariki, akifikiri maji ya Simtank yatamsaidia asife, nikisema yule alikuwa mjinga, utasema nina chuki?
Unastahili kupewa tuzo ya nyumbu asietumia akili yake vizuriAlisema yakipita hakutakuwa na negotiations tena, hivyo muda wote unaobakia wataanza kuwindana...
Na masaa 24 yalivyopita ndipo kama hivyo anatangaza visasi...
Ukiwa na strategy huwezi kufeli?Polepole alitaka kuonekana sana bila strategy.
Unaakili ila huna uwezo wa kuzitumia unasubiri mangekimambi atumie zake na wewe ndo uishi na hizo hoja ila kutumia akili zako unaona ni haram ndo maana nawaita nyumbuHuyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..
Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
Mimi mwenyewe naona uwezekano ni mkubwa kuwa kina Mdude hawapo hai sasa jiulize huyu jamaa ana nia gani kusema kuwa wapo hai katika nyumba moja? Yaani ukichaa wake ndiyo umtume kusema watu 10 ukiacha mdogo wake wanaoshukiwa kutekwa wapo hai, mbona kama ni kauli yenye mkakati?Du... wewe udadisi wako umevuka mpaka hadi unamwagika. Udadisi unapozidi kupita kiasi ndiyo unakuja na theories za kufikirika kama hizi. Polepole alijiuzulu na kutekwa kiukweli na uwezekano mkubwa ni kuwa aliuawa. Huyu kaka yake kwangu mimi naona ni kama chizi fulani anayetoa vitisho kwa uchungu wa kuondokewa na ndugu yake. Kuhusu wale wengine waliopotea kama kina Mdude, pia uwezekano ni mkubwa kuwa waliuawa. Kama 29/10 walikuwa wanaingia majumbani kwa watu kuua watu bila kosa lolote ili kuogopesha raia, hao waliokuwa wanapinga serikali waziwazi kama kina Mdude wangepona kweli?
Wewe umeshawahi kunisoma mimi?Umeshawahi kusoma SoMo la critical thinking ???
Umeandika hoja ndefu lakini lkn ni zero plus zero...Mafwele kweli limemkuta jambo...
Kwani yeye ni nani asifikiwe?
Kulikuwa kuna safisha safisha hadi ndani ya jeshi baada ya kuonekana kuna jw hawailewi serikali kwenye sakata lakuelekea uchaguzi mkuu , na kuna clip moja Mafwele alisema 'Tesha ni muhuni na amekimbia nchi' na akasema kuna jw wengine waliwakamata... alizungumzia masuala ya hatari ikiwemo kuwatoa uhai.
Hivyo kuna uwezekano alihusika kwenye kamatakamata ya jw ambao walibainika kuwa kinyume na serikali , na pengine kuwaadhibu n.k... maana anakiherehere sana..
Sasa kama alikuwa target ya wengi , kwanini wasimuweke mtu kati...
Polepole hakuwa na strategy, kutokana na maneno yake, na matendo yake.Ukiwa na strategy huwezi kufeli?
Je? we umefahamu vipi hakuwa na strategy?