100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mnalinganisha uhalisia na movies za hollywood...Kanal wa jeshi gani huyu mbona anakosa weledi na kuleta mzaha kwenye mambo serious?
we ulitaka afanye nini ?
Mnalinganisha uhalisia na movies za hollywood...Kanal wa jeshi gani huyu mbona anakosa weledi na kuleta mzaha kwenye mambo serious?
Alisema yakipita hakutakuwa na negotiations tena, hivyo muda wote unaobakia wataanza kuwindana...Masaa 24 aliyotoaga kwa serikali wamwachie Humphrey hayafikagi tu?
Mikwara mingi kazi hamna...😂
Kwahiyo ulitaka uone anaibukia ikulu ndo ujue Yuko serious?Masaa 24 aliyotoaga kwa serikali wamwachie Humphrey hayafikagi tu?
Mikwara mingi kazi hamna...😂
Hilo nalo neno.Hivi kuna mwenye uhakika kama ni Kaka yake kweli?
Apunguze mayowe na kuonesha vitendo.Mnalinganisha uhalisia na movies za hollywood...
we ulitaka afanye nini ?
Mafwele kweli limemkuta jambo...
Kwani yeye ni nani asifikiwe?
Kulikuwa kuna safisha safisha hadi ndani ya jeshi baada ya kuonekana kuna jw hawailewi serikali kwenye sakata lakuelekea uchaguzi mkuu , na kuna clip moja Mafwele alisema 'Tesha ni muhuni na amekimbia nchi' na akasema kuna jw wengine waliwakamata... alizungumzia masuala ya hatari ikiwemo kuwatoa uhai.
Hivyo kuna uwezekano alihusika kwenye kamatakamata ya jw ambao walibainika kuwa kinyume na serikali , na pengine kuwaadhibu n.k... maana anakiherehere sana..
Sasa kama alikuwa target ya wengi , kwanini wasimuweke mtu kati...
Yaani wamuweke Mtu Kati then wamuachie akiwa hai you can't be serious
Mimi niliwaonya kuwa huyu msanii tu tangu aliposema Polepole ana chip.
psychological torture ni zaidi ya kifo...
Anaumia Sana polepole kutokuachiwa
Nafikiri hayupo sawa anaumia Sana kumsababisha aongee kila neno
Hadhira ya JF.Uliwaonya akina nani?
Ok. Kama uliwaonya.Hadhira ya JF.
Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy) ndiyo hayo hayo anayoyafanya kaka yake.Ok. Kama uliwaonya.
Sasa mimi leo nawapa Rai waachane na huyo tapeli. Hana kitu akijuacho wala awezacho kukifanya.
Si amesema alipo, na akasema hata akihamishwa atafahamu...Hakuna kitu kama hicho psychology torture ipi hiyo? Muwe serious haya mambo mazito mnayafanyia usanii. Jamaa ni kilaza tu. Alisema Polepole ana chip. Hiyo chip wameshindwa kumtafutia akajulikana alipo?
Wanasema kaliwa 0713..Then wamemuadhibu vipi? Ukiniambia yupo kwake mzima. Ndo napoona wote hampo serious mnafanya mzaha sana.
Ni upumbavu na uongo wa kitoto. Kama anajua alipo kwa nini asimwokoe?Si amesema alipo, na akasema hata akihamishwa atafahamu...