Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

Apunguze mayowe na kuonesha vitendo.
Kapita kwenye nyumba waliomdetain nduguye akahakiki kuwa yupo pale, why asisuke mpango wa kumuokoa?
Yeye si ni mjeda, bila shaka uwezo wa kuwa na connection ya kupata silaha nzito anao.

Kwakuwa polisi wamekana kuhusika na upotevu wa mdogo wake, basi afanye ambush pale aue yeyote atakaeleta ukinzani kisha atoke na nduguye.
Ndio maana nasema uhalisia ulivyo si kama movies za hollywood...

Hilo eneo utakuta kuna layered defense, kuna walinzi ndani ya eneo ambao wapo na mateka, kuna vikosi vya karibu/nje ya eneo na pia vikosi vilivyo tayari kuitwa/backup units..

Huwezi jipeleka kwenye kifo kizembe namna hio eti kisa we ni commando wa jeshi, uhalisia si kama movie za Rambo anavamia kambi ya jeshi mtu mmoja na kuteketeza maadui...

Si rahisi kama ufikiriavyo na watekaji wanaelewa masuala ya kiulinzi na kiusalama, hao si polisi jamii ama sungusungu...

Hakuna opresheni za vikosi maalumu inayofanywa bila tathmini ya kina.. huwezi kwenda sehemu kama nyumbu.. utauawa..

Lazima mfanye risk assessment , lazima uangalie uwezo wa adui, jografia ya eneo, uwezekano wa kukabiliwa/kushindwa.

Navy Seal wenyewe kabla ya kwenda eneo husika huunda mfano wa eneo/mock-up , halafu wanaanza kufanya mazoezi hapo/rehearsals.. wanafanya mazoezi kwa muda mrefu...

Lazima muwe na intel, kwamba mkifika mtavunja mlango flani, mtaingia koridoni, mtashuka kwenye ngazi, mateka wapo kwenye basement .... n.k ... lazima intel muwe nayo..
 
Apunguze mayowe na kuonesha vitendo.
Kapita kwenye nyumba waliomdetain nduguye akahakiki kuwa yupo pale, why asisuke mpango wa kumuokoa?
Yeye si ni mjeda, bila shaka uwezo wa kuwa na connection ya kupata silaha nzito anao.

Kwakuwa polisi wamekana kuhusika na upotevu wa mdogo wake, basi afanye ambush pale aue yeyote atakaeleta ukinzani kisha atoke na nduguye.
Kirahisi hivyo...
 
Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana.

Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious.

Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna. Wanajeshi hawapaswi kila siku kuongea ongea kama akina Lucas Mwashambwa. Wanapaswa kutenda halafu wanaongea kidogo. Maneno machache vitendo vingi.

Jamaa anatema sana mkwara lakini hatuoni vitendo. Mpaka najiuliza je naye anatumika kufubaza mambo au inakuaje? Mpaka sasa hatujapata majibu kabisa. Halafu anakuja kusema alipita Kigamboni na nyumba aliyopo ndugu yake anaifahamu. Halafu? Akamwacha humo humo?

Hivi yupo serious kweli? Au anafanya ucheshi? Aache ubwege sasa
Huyo ni wale wale, Kuna kipindi aliwachimba mkwara wa kudedisha mmoja baada ya mwingine Kwa kuwapa masaa 48 ya kumwachia pole pole

Wakaja kumlambisha dodo (pesa) akalegea kama Malaya aliyeona bia kapotea mazima

Baada ya pesa alizohongwa kuisha Sasa ndo amerudi Tena kimalaya Malaya na kinafki nafki

Huyo ni wa kupuuzwa hamna kitu hapo
 
Una chuki binafsi na Polepole..
Hujaweza kujadili hoja, unakuja na viroja.

Hii ni logical fallacy.

Inaitwa ad hominem.

Inatokea pale mtu anayeshindwa kujadili hoja anapomshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja.

Jadili hoja, usimjadili mtoa hoja.

Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ndiyo chuki binafsi yenyewe.

Wewe ndiye una chuki binafsi na mimi.

Nimekuwekea mantiki kuonesha hilo.
 
Nimesema hivyo una chuki kwa sababu umeandika 'Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy)'

Wewe umejuaje nia na lengo lake alitaka kuonekana sana? wewe ni aina ya mtu ambae jirani yako akinunua garikwa ajili ya usafiri utasema 'amenunua gari ili tumuone ana hela' hali ya kuwa mtu kanunua gari kwa sababu ya usafiri.

Wewe mwenyewe unamchafua balozi Polepole.. kitu kinachoonekana una chuki binafsi... wala sijakushambulia bali ni kweli...
 
Mafwele ni nyara ya serikali inabid akapimwe kinyeo na vernier calipers ili tujue kama watu hawajachukua ushindi ata kama ni mimi mtesi wangu simuui namla kidgo kidgo, kwani kumuua mwafel ni ngumu basi nenda bara kubwa kubwa utamkuta na walinzi wake ana machimbo yake sasa hit man anashindwa enda mmaliza chap ni watu wanataka wafurahi kwanza
 
Niliwahi kubishana na mtu au watu kuhusu Polepole na huyu kaka yake. Sijawahi kuiamini story ya huyu jamaa wala ya mdogo wake, Humphrey toka alipokuja na story za kujiuzulu ubalozi. Nimekuwa nasita kusema haya maana najua tunaongelea uhai wa mtu, kwa hiyo ni jambo inalobidi uliongelea ukitambua hisia za wengine.

Kuna kitu kilikuwa kinaniambia ni story ya kutengenezwa yenye malengo maalumu na kauli yake ya video iliyotoka leo inathibitisha malengo yale niliyokuwa nayadhania wanayo.

Kiufupi nilichokuwa nadhani kinafanyika ni kumtumia Polepole na kaka yake kutengeneza delaying tactic ya kuwajengea matumaini watanzania kuwa labda waliotekwa wapo hai ili wasichukue hatua huku safisha safisha ikiendelea chini kwa chini. Kitendo cha kumtaja Mdude na wengine kina confirm hilo.

Kuna sababu nyingine pia niliyodhani nayo pia iko valid sana mpaka leo. Nitaielezea wakati mwingine.

Naiamini sana "intuition" yangu na mara nyingi iko sahihi, muda utaongea.
 
Mimi niliwaonya kuwa huyu msanii tu tangu aliposema Polepole ana chip.
Kati kati alikuwa kimya ila nahisi kama kamchezo huwa kanachezwa inapoanzaga kesi ya Lissu.
Huwa kuna anzishwa matukio ya ajabu ajabu kuwatoa watu nje ya mfumo.
 
You never know, labda jamaa anatumia strategy ya kubwabwaja kuwaingiza maadui kwenye 18 😆😆😆
 
Polepole ana chipu wanafuatilia kinachoendelea kuhusu yeye.
Jana ameenda mpaka dirisha la chumba alimo mdogo wake Polepole.
Mafwele jitokeze . Anasahau Fweleboy haonekanagi ovyoovyo.
Alivyo hana akili anaanza kutaja majina ya watu au walinzi alimo huyo dogo Polepole.
Ana kauli nyingi ambazo pengine lengo ni kutikisa malengo na mirengo ya activists wa Bongo.
Wanafalsafa wanaita Ad homineim
 
Nimesema hivyo una chuki kwa sababu umeandika 'Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy)'

Wewe umejuaje nia na lengo lake alitaka kuonekana sana? wewe ni aina ya mtu ambae jirani yako akinunua garikwa ajili ya usafiri utasema 'amenunua gari ili tumuone ana hela' hali ya kuwa mtu kanunua gari kwa sababu ya usafiri.

Wewe mwenyewe unamchafua balozi Polepole.. kitu kinachoonekana una chuki binafsi... wala sijakushambulia bali ni kweli...
Polepole alitaka kuonekana sana bila strategy. Huu ni ukweli.

Mtu anayeongea mitandaoni kumlazimisha rais asigombee urais bila mpango, akiwa Dar, anatumia mitandao ya Kitanzania, anaongea na wanasiasa wa Tanzania, hana strategy. Hiyo si chuki, hiyo ni fact.

He was just dumb. Alipenda kwenda live na kuongelewa zaidi ya kuweka strategic moves kujibu swali gumu, tunamuondoaje Samia?

Ndiyo maana kajionesha mitandaoni akiwa Dar mpaka kadakwa, akitaka kumlazimisha Samia asigombee urais, bila strategy yoyote.

Mimi nina maisha yangu yaliyo katika lane tofauti kabisa na hayo mambo ya siasa, naishi Marekani, napiga kazi zangu, sina ushindani na wanasiasa wa Tanzania, sasa naanzia wapi kumchukia Polepole mtu simjui? Nimchukie kwa nini?

Ukisema nina chuki sema nina chuki kwa sababu hii. Onesha nina chuki.

Vinginevyo mtu yeyote atakayeleta analysis kwamba Polepole alikuwa mjinga kufanya alichofanya, badala ya kuangalia mantiki kwa nini hiyu kasema hivi, uta hukumu mambo kindezi kwamba hizi ni chuki.

Mahaba yako kwa Polepole hayafanyi ninavhosema, kqma ni ukweli tu, kiwe chuki.

Ukweli ni ukweli tu, bila kujali mahaba yako yako wapi.

Sasa, prove mimi nina chuki kwa Polepole, logically, usiseme tu.

Mimi logic yangu ni kwamba Polepole alikuwa mjinga aliyesema mambo bila strategy. Ndiyo maana kadakwa, ndiyo maana kashindwa kumtoa Samia.

Sasa kusema hivyo inakuwaje chuki?

Kama mtu kafanya mambo kijinga, kusema huyu mjinga kafanya mambo kijinga inakuwaje chuki?

Nikisema yuke jamaa aliyejirusha ghorofani juu kabisa Morogoro Road na kuangukia Simtank akafariki, akifikiri maji ya Simtank yatamsaidia asife, nikisema yule alikuwa mjinga, utasema nina chuki?
 
Polepole ana chipu wanafuatilia kinachoendelea kuhusu yeye.
Jana ameenda mpaka dirisha la chumba alimo mdogo wake Polepole.
Mafwele jitokeze . Anasahau Fweleboy haonekanagi ovyoovyo.
Alivyo hana akili anaanza kutaja majina ya watu au walinzi alimo huyo dogo Polepole.
Ana kauli nyingi ambazo pengine lengo ni kutikisa malengo na mirengo ya activists wa Bongo.
Wanafalsafa wanaita Ad homineim
Mkuu,

Ile story ya chip unaiamini kweli au unamsanif tu?
 
Wanasema kaliwa 0713..
Mkuu hebu tutulize vichwa tutafakari. Mtu mwenye makosa ya mauaji na utekaji anakamatwa anapewa adhabu ya kuliwa tigo halafu anaachiwa.... inaingia akilini kweli? Mbona hii inaonekana ni uzushi kabisa? Halafu huyu kaka yake Polepole alishapotoa kwa muda baada ya ule mkwala wake. Aliposikia hii consipiracy huyo... naye akadakia. Nakupa assignment... jaribu kutulia uangalia clups za huyo anayedaiwa ni kaka yake utaona kuna walakini kwenye maongezi yake... sidhani kama ni mzima kichwani. Halafu pia nashindwa kuamini kwamba ni kanali wa jeshi anayehudumu. Pengine alishatolewa jeshini if aliwahi kuwa kanali kweli.
 
Niliwahi kubishana na mtu au watu kuhusu Polepole na huyu kaka yake. Sijawahi kuiamini story ya huyu jamaa wala ya mdogo wake, Humphrey toka alipokuja na story za kujiuzulu ubalozi. Nimekuwa nasita kusema haya maana najua tunaongelea uhai wa mtu, kwa hiyo ni jambo inalobidi uliongelea ukitambua hisia za wengine.

Kuna kitu kilikuwa kinaniambia ni story ya kutengenezwa yenye malengo maalumu na kauli yake ya video iliyotoka leo inathibitisha malengo yale niliyokuwa nayadhania wanayo.

Kiufupi nilichokuwa nadhani kinafanyika ni kumtumia Polepole na kaka yake kutengeneza delaying tactic ya kuwajengea matumaini watanzania kuwa labda waliotekwa wapo hai ili wasichukue hatua huku safisha safisha ikiendelea chini kwa chini. Kitendo cha kumtaja Mdude na wengine kina confirm hilo.

Kuna sababu nyingine pia niliyodhani nayo pia iko valid sana mpaka leo. Nitaielezea wakati mwingine.

Naiamini sana "intuition" yangu na mara nyingi iko sahihi, muda utaongea.
Du... wewe udadisi wako umevuka mpaka hadi unamwagika. Udadisi unapozidi kupita kiasi ndiyo unakuja na theories za kufikirika kama hizi. Polepole alijiuzulu na kutekwa kiukweli na uwezekano mkubwa ni kuwa aliuawa. Huyu kaka yake kwangu mimi naona ni kama chizi fulani anayetoa vitisho kwa uchungu wa kuondokewa na ndugu yake. Kuhusu wale wengine waliopotea kama kina Mdude, pia uwezekano ni mkubwa kuwa waliuawa. Kama 29/10 walikuwa wanaingia majumbani kwa watu kuua watu bila kosa lolote ili kuogopesha raia, hao waliokuwa wanapinga serikali waziwazi kama kina Mdude wangepona kweli?
 
Mkuu hebu tutulize vichwa tutafakari. Mtu mwenye makosa ya mauaji na utekaji anakamatwa anapewa adhabu ya kuliwa tigo halafu anaachiwa.... inaingia akilini kweli? Mbona hii inaonekana ni uzushi kabisa? Halafu huyu kaka yake Polepole alishapotoa kwa muda baada ya ule mkwala wake. Aliposikia hii consipiracy huyo... naye akadakia. Nakupa assignment... jaribu kutulia uangalia clups za huyo anayedaiwa ni kaka yake utaona kuna walakini kwenye maongezi yake... sidhani kama ni mzima kichwani. Halafu pia nashindwa kuamini kwamba ni kanali wa jeshi anayehudumu. Pengine alishatolewa jeshini if aliwahi kuwa kanali kweli.
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom