Sisemi kwamba ilikuwa sahihi.Wewe unaona Samia kupita pasipo kupingwa na kutoshiriki kwenye kura za maoni ilikuwa sahihi?
Alikuwa na strategy lakini ilifeli...Sisemi kwamba ilikuwa sahihi.
Nasema kuwa, ingawa alichofanya Samia haikuwa sahihi, na ingawa kulitakiwa pingamizi, Polepole hakuwa na strategy ya kumpinga Samia kikamilifu na kumsimamisha.
Alijuwa anaongea tu mitandaoni bila strategy.
Ndiyo maana Samia akapita CCM, akafanya aliyoyafanya.
Umeelewa?
Kuongea mitandaoni ndiyo ilikuwa strategy ya kumfanya Samia aseme amemsikia Polepole na anatubu, hagombei urais tena?Alikuwa na strategy lakini ilifeli...
Ndio maana nilikuambia hata kuongea mitandaoni ilikuwa ni sehemu ya strategy yake...
INabidi ukubali tu kwamba strategy yake ilifeli...
That was a stupid thing to say... nikaona hili nalo ni boga tuMimi niliwaonya kuwa huyu msanii tu tangu aliposema Polepole ana chip.
Kuongea mitandaoni ndiyo ilikuwa strategy ya kumfanya Samia aseme amemsikia Polepole na anatubu, hagombei urais tena?
Kushawishi wananchi wasishiriki uchaguzi(online meeting)
||
Siku ya uchaguzi yafanyike maandamano/mgomo
||
Jeshi liingilie kati
||
Zifuatwe taratibu za kutafuta wagombea
||
uchaguzi urudiwe
Kuongea mitandaoni ndiyo ilikuwa strategy ya kumfanya Samia aseme amemsikia Polepole na anatubu, hagombei urais tena?
Is this the strategy you are talking about?
Polepole hakuwa hata na strategy ya kujilinda yeye mwenyewe, hakuwa na strategy ya insuranve policy siku wakimteka ana documents fulani zitakuwa leaked from a middleman.
Hakuwa na strategy alikuwa anamtegemea Mungu wa majeshi ampiganie.
Hiyo si strategy, ni wishful thinking.
Huelewi wapi?
Kushawishi wananchi wasishiriki uchaguzi(online meeting)
||
Siku ya uchaguzi yafanyike maandamano/mgomo
||
Jeshi liingilie kati
||
Zifuatwe taratibu za kutafuta wagombea
||
uchaguzi urudiwe
Polepole alikuwa anapigania kumtoa Samia ili amuweke mtu wake CCM iendelee kutawala kwa kupitia mtu anayemtaka Polepole.Code:Kushawishi wananchi wasishiriki uchaguzi(online meeting) || Siku ya uchaguzi yafanyike maandamano/mgomo || Jeshi liingilie kati || Zifuatwe taratibu za kutafuta wagombea || uchaguzi urudiwe