Pre GE2025 Kaka yake Lissu: Mbowe anatukuza utajiri wake na kumnyanyasa Lissu kwa umaskini wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza sera zao kwa wanachama.

"Kampeni zao kwa ujumla zinaenda vizuri ingawaje kwenye huu mnyukano hawa wagombea hasa wawili Freeman Mbowe na bwana Tundu (Tundu Lissu) kuna maeneo ambayo wameenda nje ya Reli, badala ya kujadili hoja wameanza kurushiana maneno ambayo siyo ya staha..."
Your browser is not able to display this video.
Pia, Soma:
 
suluhisho la umaskini ni kua na bidii tu kwenye kazi, vinginevyo ombaomba itaendelea kukufanya uwe myonge na wa kutegemea huruma ya jamii tu 🐒
 
Akina Lissu na kaka yake waache ukabila na nepotism.
 
Mbowe anahujumu Chadema kwa fedha zake!
Inasemekana kuwa Mbowe ametoa milioni 250 kwa ajili ya Mkutano Mkuu. Kwa maneno mengine Mkutano Mkuu usingefanyika bila mchango wake. Sasa kwa vile watu wengi mnaona kuwa anawahujumu basi changeni angalau milioni 200 mumrudishie ili asiwasimange na pesa zake. Wakati huo huo mchangieni Lissu milioni 30 alizoombwa achangie. Milioni 230 hakiwezi kuwashinda.

Amandla...
 
Maria kamnunulia gari la milioni elfu 1 lissu. Huo si utajiri?
 
Hiyo m250 imetoka kwa Abdul na ruzuku ikiingia mwamba ataidai.
 


Ruzuku ya chama huwa inaenda wapi mpaka chama hakiwezi kujiendesha kugharamia mkutano mkuu wa wajumbe ? Au Ruzuku huwa inaingia mifukoni mwa mbowe na kusababisha chama kukosa pesa ya kujiendesha.
 
Sawa tunachanga
 
Ruzuku ya chama huwa inaenda wapi mpaka chama hakiwezi kujiendesha kugharamia mkutano mkuu wa wajumbe ? Au Ruzuku huwa inaingia mifukoni mwa mbowe na kusababisha chama kukosa pesa ya kujiendesha.
Majibu yatapatikana baada ya Mbowe kutoka madarakani. Ndio tutajua kwa nini CDM wanaishiwa wakati mapesa ya ruzuku na ada za digital yapo kibao.

Proof of the pudding is in the eating.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…