Pre GE2025 Kaka yake Lissu: Mbowe anatukuza utajiri wake na kumnyanyasa Lissu kwa umaskini wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inasemekana kuwa Mbowe ametoa milioni 250 kwa ajili ya Mkutano Mkuu. Kwa maneno mengine Mkutano Mkuu usingefanyika bila mchango wake. Sasa kwa vile watu wengi mnaona kuwa anawahujumu basi changeni angalau milioni 200 mumrudishie ili asiwasimange na pesa zake. Wakati huo huo mchangieni Lissu milioni 30 alizoombwa achangie. Milioni 230 hakiwezi kuwashinda.

Amandla...
Hizo milioni 250 ni kiasi kidogo sana kutoka hiyo 13B iliyotolewa na Saa100.
 
Inasemekana kuwa Mbowe ametoa milioni 250 kwa ajili ya Mkutano Mkuu. Kwa maneno mengine Mkutano Mkuu usingefanyika bila mchango wake. Sasa kwa vile watu wengi mnaona kuwa anawahujumu basi changeni angalau milioni 200 mumrudishie ili asiwasimange na pesa zake. Wakati huo huo mchangieni Lissu milioni 30 alizoombwa achangie. Milioni 230 hakiwezi kuwashinda.

Amandla...
Kwanza inasemekana fedha zote ambazo huwa anatoa anazidai na kurudishiwa, pili hakuna mahala Katibu Mkuu Mnyika amesema mkutano mkuu usingefanyika bila mkopo wa Mbowe. Lakini pia hakuna tangazo lo lote la kuomba michango ya kufanikisha mkutano huu.
 
Back
Top Bottom