Inasemekana kuwa Mbowe ametoa milioni 250 kwa ajili ya Mkutano Mkuu. Kwa maneno mengine Mkutano Mkuu usingefanyika bila mchango wake. Sasa kwa vile watu wengi mnaona kuwa anawahujumu basi changeni angalau milioni 200 mumrudishie ili asiwasimange na pesa zake. Wakati huo huo mchangieni Lissu milioni 30 alizoombwa achangie. Milioni 230 hakiwezi kuwashinda.
Amandla...