Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi

 
Hii inanikumbusha Hekaya ya A boy who cried Wolf....; Anyway ninamuelewa kupotelewa na ndugu inaumiza na hii vita sio yake tu, bali ni ya kila Mtanzania kwa Mtanzania mwenzetu (hata kama ni adui yako au hafai) kushikwa au kupotezwa....

Ni hatari sana katika jamii kuwa na wahuni wanaoweza kufanya hivyo - ila hii mikwara sidhani kama inatupeleka popote kwenye solution - after all Simba mwenda Pole....
 
Sema mwamba nae anamikwalaaaa. Sasa yeye anamtaka polepole tu ila watanzania wengine waliotekwa simsikiii akiwaongelea Wala kuwatetea
Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi

 
Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi

Jamaa anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia, nilikuwa sijaangalia clip zake muda mrefu hivi nilivyomuona hapa ni dhahiri ana msongo mkubwa wa mawazo.

Mungu amsaidie Polepole aliko arudi tena uraiani japo nina mashaka makubwa na hilo kutokea.
 
Back
Top Bottom