Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Apunguze maneno aongeze vitendo
Ulitaka afanyaje kaka?Hii inanikumbusha Hekaya ya A boy who cried Wolf....; Anyway ninamuelewa kupotelewa na ndugu inaumiza na hii vita sio yake tu, bali ni ya kila Mtanzania kwa Mtanzania mwenzetu (hata kama ni adui yako au hafai) kushikwa au kupotezwa....
Ni hatari sana katika jamii kuwa na wahuni wanaoweza kufanya hivyo - ila hii mikwara sidhani kama inatupeleka popote kwenye solution - after all Simba mwenda Pole....

Nasubiria nimeona pale mwisho kawataja wakuu wa vikosi vyake kwa codename kisha kawapa code ya maelezo kwamba ikivuka 24 hrs hakuna kurudi nyuma.. ngoja masaa yanakimbia vibaya na muda sio rafiki mkweliHuyu naye sometimes ni kama chihuahua ambwekee bulldog akiwa ndani ya fensi
Hii inaitwe 'Nidimagi nakumulaga'Huyu jamaa kila siku anachimba biti tu 😂.
Nina mashaka kama kweli ni kaka wa Humphrey.
Hana nia yoyote ile ya kufanya anachokitishia.
Huwezi kuwaambia watu wajizatiti maana unakuja.
Mbinu ya kiboya sana hiyo.
Anaanza kutia mashaka, unamwaandaje adui yako na kumwambia ajipangeHuyu jamaa kila siku anachimba biti tu 😂.
Nina mashaka kama kweli ni kaka wa Humphrey.
Hana nia yoyote ile ya kufanya anachokitishia.
Huwezi kuwaambia watu wajizatiti maana unakuja.
Mbinu ya kiboya sana hiyo.
Siwezi kumpangia mtu cha kufanya ; To each their Own...; lakini naweza kuona impact ya tendo ; ametoa 24 hours zikipita atakuwa amelipa Kisasi au atatoa extension zaidi ? Na sababu hii mikwara ameshapiga sana na mdogo wake aliipiga sana huenda strategy ya ku-walk the walk (kwa mwenye uwezo) no bora kuliko talking the talk....Ulitaka afanyaje kaka?
Mi nashangaa misimamo anayoitoa mpaka leo hajafa! Maana ake hachukui hatua kabisa yaniVitisho vya kitoto, hana lolote.
Unatoa vitisho ukiwa chumbani!!
Naamini ndani ya masaa hayo Polepole hataachiwa tuone atakachofanya.
Utakuta uzi umetapakaa midamu tupu BRN T atakua tayari kashaliwa kichwa..Kesho narudi kwenye huu uzi muda kama huu
Agree with this observation. Halafu wala huwezi kuwadai kuwa wanaye. Maana tulikuwa tunajuwa yuko Cuba au Sweeden. Aligonga lini mhuri wa immigration na kituo gani cha mpakani wakati wa kuingia Tz?Polepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!
Unaweza kuiona kama ni mikwara lakini taarifa yeyote inayokuja katika hiki kipindi sio ya kuipuuza.Hii inanikumbusha Hekaya ya A boy who cried Wolf....; Anyway ninamuelewa kupotelewa na ndugu inaumiza na hii vita sio yake tu, bali ni ya kila Mtanzania kwa Mtanzania mwenzetu (hata kama ni adui yako au hafai) kushikwa au kupotezwa....
Ni hatari sana katika jamii kuwa na wahuni wanaoweza kufanya hivyo - ila hii mikwara sidhani kama inatupeleka popote kwenye solution - after all Simba mwenda Pole....
Kwenye hii age ya information overload unaweza kuamini kitu pale tu kinapotokea na sio kabla;Unaweza kuiona kama ni mikwara lakini taarifa yeyote inayokuja katika hiki kipindi sio ya kuipuuza.
King Kong III anaamin mbwembwe za huyu jamaa, last time alisema polepole alipo anapajua. Apataje ili watu kwenye D9 wakamtoe
Nimeshangaa sana, unamwambia adui yako aongeze ulinzi, wakati ulinzi dhaifu ni kwa faida yako.Huwezi kuwaambia watu wajizatiti maana unakuja.