Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
"Charity begins at home".Sema mwamba nae anamikwalaaaa. Sasa yeye anamtaka polepole tu ila watanzania wengine waliotekwa simsikiii akiwaongelea Wala kuwatetea
"Charity begins at home".Sema mwamba nae anamikwalaaaa. Sasa yeye anamtaka polepole tu ila watanzania wengine waliotekwa simsikiii akiwaongelea Wala kuwatetea
😂😂😂😂Huyu naye sometimes ni kama chihuahua ambwekee bulldog akiwa ndani ya fensi
OkaySiwezi kumpangia mtu cha kufanya ; To each their Own...; lakini naweza kuona impact ya tendo ; ametoa 24 hours zikipita atakuwa amelipa Kisasi au atatoa extension zaidi ? Na sababu hii mikwara ameshapiga sana na mdogo wake aliipiga sana huenda strategy ya ku-walk the walk (kwa mwenye uwezo) no bora kuliko talking the talk....
That said hata kuongea kunasaidia ndio maana nilikuwa namuunga mkono Polepole pale alipokuwa anaongelea issues (za upigaji) and not so much katika ile mikwara au personal issues na mambo ye He say / She Say (unsubstanciated), sometimes zina-dilute issues za maana inakuwa kama kijiwe cha Soga...
Sijui kwanini na mie nawaza kuhusu hilo tyuu.Issue ya Polepole kila siku nasema imekaa kimtego sana.
Anyway, CCM ina historia ndefu ya kuua mtu halafu kugawa cheo kwa watoto au ndugu za marehemu.
Mi natamani asingesema afanye kimyakimya...So sad, ila ukweli Polepole hawezi kuwa hai mpaka sasa. Yaani haya manyamera ya Ccm yamteke Polepole kwa alivyokua anawalipua halafu wamwache for what!
Ila Kaka ake Polepole angekua ana rekodi hizi clip aliowaua sio atakaowaua... Tunataka tunaamka asubuhi anatwambia ameua Samia na Kikwete then siku inayokuja ameua Wanu pamoja na Muliro sio story zisizo na vitendo .
😂😂😂😂Mchana kesho Sneipa yupo Dom😀😀😀😀mamaeeee
Na mimi kwa akili yang ndogo hii ndo nachojuaMkuu unapokua kwenye situation ya mtu wako ameshikiliwa hostage na unamuhitaji akiwa hai unachofanya kwanza ni kutumia "soft power" ili aweze kuachiwa na Agustino ameshafanya hilo kwa muda mrefu kupitia kesi ya mahakama na video zake, Sasa hii stage ya pili huwa ndio final na deadly ndio ile unaenda kumchukua kwa nguvu au nawewe unawashikilia au unaua wapendwa wa watekaji ili wapate maumivu kama yako.
Hapa huwa hakuna kurudi nyuma kama alivyosema mwenyewe maana ni maamuzi magumu na ya mwisho ambayo huwa yanaleta "collateral damage" inayoweza kusababisha ndugu yake kuuawa na watekaji au kuachiwa kwa kuhofia na wao kuuawa.
Kwahio kuwaambia wajiandae ni kwamba wajue yupo serious na jambo Lake na kwamba watafakari kama wapo tayari kwa madhara yake
Hapa sasa ndio tusubiri kama anachosema Agustino ndicho alichomaanisha.
Ngoja tumpe masaa 48Kaka yake Polepole huu uwe mkwala wa mwisho plz. Ushaongea sana sasa fanya vitendo.
😃😃😃Na mimi kwa akili yang ndogo hii ndo nachojua
Ss nashangaa hapa watu wasomi ht elimu hii ndogo imewashinda au nayo mpk habil awafunfishe🤣🤣🥰
Amesema syndicate ikisoma tu anakula kichwaNgoja tumpe masaa 48
Ngoja tuone maana anaongea sana mara dogo ana cheap, mara ooh na ushahidi vitu kibao ila utekelezaji hakunaAmesema syndicate ikisoma tu anakula kichwa
Hahaaa
Tusubiri kuokota mizoga kama kumbikumbi 😀Amesema syndicate ikisoma tu anakula kichwa
Haaahaa
Yupo hai mioyoni mwetu wapenda haki wapenda nchi yetu Tannganyika.Sidhani kama polepole tunae hadi sasa 💔 😭
Nahisi huu ndiyo utakua mkwala wake wa mwisho.. vinginevyo tutampuuza.Hii inanikumbusha Hekaya ya A boy who cried Wolf....; Anyway ninamuelewa kupotelewa na ndugu inaumiza na hii vita sio yake tu, bali ni ya kila Mtanzania kwa Mtanzania mwenzetu (hata kama ni adui yako au hafai) kushikwa au kupotezwa....
Ni hatari sana katika jamii kuwa na wahuni wanaoweza kufanya hivyo - ila hii mikwara sidhani kama inatupeleka popote kwenye solution - after all Simba mwenda Pole....