Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi

Hana lolote.Mtu anaetaka kufanya jambo Hanoï taarifa. Tungesikiia tu Samia kadead. Kwa kupigwa risasi akiwa kwenye ziara.
 
Okay
Mi kwa uelewa wangu mdogo yule sio mjinga ndo maana alikuwa angongea kwanza
Km adui yuko na mateka huna option lzm uwe mpole kwanza kabla ya kuchukua hatua nyingine zaidi!
Huu ni uelewa wangu mdogo...


Anyway walioko huko kwenye hizo idara za hayo mambo watupe elimu
Sijajua motive ya muhusika wala modus operandi yake, nachoongelea ni hii mikwara sio migeni na sio yeye tu hata mdogo mtu alikuwa nayo; (mara Samia fanya hiki au badilisha kile ama sivyo utajua mimi ni nani n.k.) huyu alishasema mdogo wake ana chip kwahio wanajua yupo wapi na mambo mengi mengine - sasa sijui hadhira yake ni kina nani ila nikiongelea perception ya watazamaji wa huku na ukali wa mikwara yake (mpaka sasa ime-come short); ingawa huenda misleading na confusion ndio strategy yake (sijui); Kuna watu their Word is their Bond - Yaani akisema kitu lazima atatekeleza hata kesho akisema tena watu watachukua hatua haraka wakijua jamaa huwa hana utani - Maybe huyu sio mmoja wa hao...

Anyway who am I to Judge lazima anajua anachofanya - Ingawa kama kweli hizo data anazo na anajua mdogo wake yupo hai, hizi vuta nikuvute sioni kama zina msaada mkubwa - Unless kuna jambo analielewa zaidi na ameshapima hii ndio mbinu pekee... Bila kusahau kama ndugu na aliyepoteza mtu wake wa karibu lazima apewe benefit of doubt na leeway ya kutosha (pamoja na yote he is grieving even more than us) - Na huenda akikosa njia yoyote hata akatumia njia itakayoleta casualities....
 
Alipe kisasi aliishatoa hayo masaa 24 mara nyingi sana, aponde kichwa cha koboko.

Na alete ushahidi tusherehekee.
 
Back
Top Bottom