Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Vitofali vile vya paving vile vigumugumu wanavibeba mkononi km wote wakifika akikosa huyu mwingine anakuvesha cha kichwa km wanaua nyoka... Muda sio rafiki masaa 24 hayajaisha bado
Kwahiyo hapo mafichoni nduguze walikuta damu yenye mchanganyiko na ubongo?🙄🙄
Kama kweli iko hivyo basi imeisha.
 
Kwahiyo hapo mafichoni nduguze walikuta damu yenye mchanganyiko na ubongo?🙄🙄
Kama kweli iko hivyo basi imeisha.
Mimi sijui ingawa Augustino kwa mujibu wa Intelligence yake makini iliyopo karibu na walipomficha HP anasema HP hajafa kutokana na mnyetishaji wake anaempa hizo information anamwambia HP bado ameshikiliwa mateka kwa hio kilichobakia ni kuingia na mbinu za Komandoo Kipensi tu hakuna namna ili kumuokoa ndugu yake hana budi kuingia msituni..
 
Wewe una uhakika gani sio mwanajeshi wa NATO?
Hakuna mahala popote alipoonesha vitambulisho vyake kama.kweli yeye ni mwanajeshi wa NATO . Wala hakuna chanzo chochote kilichohabarisha kwamba alishawahi kuwa mwanajeshi wa NATO.
 
Back
Top Bottom