Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Hakuna mahala popote alipoonesha vitambulisho vyake kama.kweli yeye ni mwanajeshi wa NATO . Wala hakuna chanzo chochote kilichohabarisha kwamba alishawahi kuwa mwanajeshi wa NATO.

Akupe taarifa wewe kama nani? Unawajua Watanzania wote waliopo NATO kupitia USA,,UK, EU? Kwanini unataka wakupe taarifa?
 
Vitofali vile vya paving vile vigumugumu wanavibeba mkononi km wote wakifika akikosa huyu mwingine anakuvesha cha kichwa km wanaua nyoka... Muda sio rafiki masaa 24 hayajaisha bado
Hii issue ya Polepole inasikitisha sana, najaribu ku imagine siku wamevunja wamemkuta hapo ndani kwake hicho kipigo walichompa sipati picha.
 
Tusipokuwa makini na kuchukulia mambo seriously kunasiku haya mambo yatakuwa kwel.. tufike mahali tujue namna ya kushusha hisia na kuondoka kile kinachoitwa kupuuzia mambo... haya tukiona ni upuuzi ikatokea kwel nan atalaumiwa??

ni lazima viongozi wawe active si proactive... ni heri nusu Shari kuliko shari kamil... nmeona kiongozi wa dini kasema hatua zichukuliwe kuepusha ghasia hii... ya mo29 yalianza kama utani hivi hivi sasa tumetinganya hatujui tunatokaje..
 
Watu wana roho ngumu sana. Kwanini Mafwele na genge lake wasimrudishe Polepole kwa mama yake au wanasubiri hadi wauawe na huyu mtabe?
Boss wao hajatoa tamko, kwani babu Sea ashatoka remanded anyway kikwete ndio alitoa order polepole atekwe
 
Nafikri alikuwa anaandika Kisukuma, kama Wasukuma waoga wanavyosema wanapojifanya wababe kumbe hamna kitu yeye ndiyo ameogopa! Nasikia jamaa anasema "NIKAMATENI NITAMWUA HUYU" Ndicho alichokuwa anamaanisha huyo jamaa.
Huyo ni fala..
 
images.jpg

Hii huwa hatari sana, watu wa medani huwa wanamuogopa sana huyu kuliko kombania nzima!
 
Wazungu wanakuambia if you pull up then use it immediately, sio unavuta mkwaju alafu unatishia tu utawahiwa
 
Tusipokuwa makini na kuchukulia mambo seriously kunasiku haya mambo yatakuwa kwel.. tufike mahali tujue namna ya kushusha hisia na kuondoka kile kinachoitwa kupuuzia mambo... haya tukiona ni upuuzi ikatokea kwel nan atalaumiwa??

ni lazima viongozi wawe active si proactive... ni heri nusu Shari kuliko shari kamil... nmeona kiongozi wa dini kasema hatua zichukuliwe kuepusha ghasia hii... ya mo29 yalianza kama utani hivi hivi sasa tumetinganya hatujui tunatokaje..
Sio kwamba wanapuuzia, upeo wao kudadavua mambo hapo ndio mwisho wake, hata kusoma historia tu hawawezi....magaidi na ugaidi mbegu yake ni kama hii inayopandwa kwetu....wenye akili tunajua tu kuwa muda si mrefu watu wataingia msituni, kibaya zaidi watakaoingia ni wale walewale ambao tunajifanya kuwashibisha ili waendelee kuwa watiifu huku tukisahau kwamba wana ndugu, jamaa, na marafiki zao wanoteswa na utawala huu!
 
Mimi nadhani makanali wa miaka ya 60 ni tofauti ma hawa wa sasa wa miaka ya 2000s
Kanali mikwqra tu 24/7 wananchi wa kawqida wanaingia barabaran na marungu kupambana na polis kanali alipo hajulikani. Amekuwa kama content creator
 
Back
Top Bottom