Amesema hii ya mwisho.Tushamchoka na yeye, kila muda viclip kama rachel dangwa. Kama anaweza akiwashe tu...
Watekeleze matakwa yake, vinginevyo wajidhatiti watakutana na moto.Anaanza kutia mashaka, unamwaandaje adui yako na kumwambia ajipange
Mm mwenyew mkuu hapa unguja komandoo lakin maji yakikupwq naenda telezo kaa na kasa naja nalaKwasisi tunaojua saikoloji na vipawa vya kumsoma mtu ,huyo jamaa utakuja kuniambia oneday labda polepole aachiwe ,jamaa hatanii....Jamaa atakula kichwa cha mtu huyo msoja huyo halafu komandoo.
Nimekuelewa vyema mkuuMkuu unapokua kwenye situation ya mtu wako ameshikiliwa hostage na unamuhitaji akiwa hai unachofanya kwanza ni kutumia "soft power" ili aweze kuachiwa na Agustino ameshafanya hilo kwa muda mrefu kupitia kesi ya mahakama na video zake, Sasa hii stage ya pili huwa ndio final na deadly ndio ile unaenda kumchukua kwa nguvu au nawewe unawashikilia au unaua wapendwa wa watekaji ili wapate maumivu kama yako.
Hapa huwa hakuna kurudi nyuma kama alivyosema mwenyewe maana ni maamuzi magumu na ya mwisho ambayo huwa yanaleta "collateral damage" inayoweza kusababisha ndugu yake kuuawa na watekaji au kuachiwa kwa kuhofia na wao kuuawa.
Kwahio kuwaambia wajiandae ni kwamba wajue yupo serious na jambo Lake na kwamba watafakari kama wapo tayari kwa madhara yake
Hapa sasa ndio tusubiri kama anachosema Agustino ndicho alichomaanisha.
Moyo wa jiwe huwa husikiiWatekeleze matakwa yake, vinginevyo wajidhatiti watakutana na moto.
Ukiangalia visasi vyote huwa na tahadhari kwanza. Ili lawama zisiwepo.
Tutaanua tanga tu.
Taarifa ni taarifa hata ukipewa na chizi usiipuzeUnaweza kuiona kama ni mikwara lakini taarifa yeyote inayokuja katika hiki kipindi sio ya kuipuuza.
Kuhusu pole pole wasahau,wazike tu viatu
Mbona inasemekana yupo mahali salama anakula vinono,Sidhani kama polepole tunae hadi sasa 💔 😭
Nitafurahi sana nikimuona tena akiwa hai, ila kwa maccm yalivyo na roho ngumu, sidhani kama yatamuacha salamaMbona inasemekana yupo mahali salama anakula vinono,
Kwamba wanasubiri mambo yapoe ili arudishwe uraiani aendelee na harakati zake.
Muda utatoa majibu.
Ni mwendo wa kutisha tu.Vitendo zero🚮
Huo ni ugomvi wa ndugu.Nitafurahi sana nikimuona tena akiwa hai, ila kwa maccm yalivyo na roho ngumu, sidhani kama yatamuacha salama
Hivi John mrema yupo kweli?!Huyu Kaka wa mchongo wa Polepole amekuwa na story story nyingi. Yeye kama anauwezo na nia anayo hana haja ya kuropoka.
Huyu itakuwa ni project kama Chsumma ya akina john mrema
Aiseee!!Polepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!
Tuwe na subira ndugu zangu masaa 24 bado hayajaisha najua mtalaumu mapema ila masaa 24 bado yana count down tusubirie yaishe... unakumbuka October 29 ilipofika saa 2 wakaanza kusema kiko wapi hakuna mbu wa kuandamana mamaezao hawakuamini macho yao saa 3 na nusu watu hawa hapa wamejaa road.. Muda sio rafiki tuwe na subraHuyu tahira pia wajinga wanamfuatilia. Mtu mwenye nguvu haongei.
Ni empty tin
Vitofali vile vya paving vile vigumugumu wanavibeba mkononi km wote wakifika akikosa huyu mwingine anakuvesha cha kichwa km wanaua nyoka... Muda sio rafiki masaa 24 hayajaisha badoAiseee!!
Kumbe jamaa wanatumia mpaka Nyundo!!?
Masaa 24 maanake kesho atawasha moto?
Ngoja tumsubirie show ianze mapema 9dec tushereheke tu uhuru
Ila km atazingua ni kupuuzwa milele!
Masaa 24 siyo mengi.Nasubiria nimeona pale mwisho kawataja wakuu wa vikosi vyake kwa codename kisha kawapa code ya maelezo kwamba ikivuka 24 hrs hakuna kurudi nyuma.. ngoja masaa yanakimbia vibaya na muda sio rafiki mkweli