Hasta la vista victoria siempre tupo pamoja Augustino ,ukiwafumua ubongo wasije kuanza kuleta lawama! narudia tena ulinzi wa viongozi wetu ni wa kawaida sana ,usidanganyike na ile mitutu ya majamaa ila kama unataka kuua kiongozi yeyote unamuua vizuri tu ,sema waTZ tulikuw hatujafikia huko ila kuanzia 2016 mpaka sasa watu wana chuki ,lolote wanaweza kufanya.Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Subiri sasa mstari mwekundu ushachorwa wakivuka tusubiri milio😀Tushamchoka na yeye, kila muda viclip kama rachel dangwa. Kama anaweza akiwashe tu...
Ana mikwara mbuzi kama dogo flani humu toto tundu Mjusi SharobaloKaka yake Polepole huu uwe mkwala wa mwisho plz. Ushaongea sana sasa fanya vitendo.
Asee damu ni nzitoSema mwamba nae anamikwalaaaa. Sasa yeye anamtaka polepole tu ila watanzania wengine waliotekwa simsikiii akiwaongelea Wala kuwatetea
Yeah, kuna mahali kamejichanganya kakasema "TUTALIPA KISASI". Katakuwa na watu haka!Huyo anaonekana ana mtandao wa kutosha mdogo wake si alikuwa serikalini kwa mda mrefu so anajuwana na watu wa kwenye system ndio maana anaongea hivyo....
Hii taarifa ya wapi? Polepole kwa taarifa za kaka yake yupo hai badoPolepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!
Mmhhh unaaanzaa mbaaaliiired upo?
Anataka kumpiga Busu la Kenge hadi amule!Mmhhh unaaanzaa mbaaaliii
HahahahahaaaaaAnataka kumpiga Busu la Kenge hadi amule!
Lugha gani hiyo na maana yake nini?Hii inaitwe 'Nidimagi nakumulaga'
Go figure!Anaanza kutia mashaka, unamwaandaje adui yako na kumwambia ajipange
Common sense!Nimeshangaa sana, unamwambia adui yako aongeze ulinzi, wakati ulinzi dhaifu ni kwa faida yako.
Mkuu unapokua kwenye situation ya mtu wako ameshikiliwa hostage na unamuhitaji akiwa hai unachofanya kwanza ni kutumia "soft power" ili aweze kuachiwa na Agustino ameshafanya hilo kwa muda mrefu kupitia kesi ya mahakama na video zake, Sasa hii stage ya pili huwa ndio final na deadly ndio ile unaenda kumchukua kwa nguvu au nawewe unawashikilia au unaua wapendwa wa watekaji ili wapate maumivu kama yako.Anaanza kutia mashaka, unamwaandaje adui yako na kumwambia ajipange
Taarifa ni taarifa hata ukipewa na chizi usiipuzeUnaweza kuiona kama ni mikwara lakini taarifa yeyote inayokuja katika hiki kipindi sio ya kuipuuza.