Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Nasubiria nimeona pale mwisho kawataja wakuu wa vikosi vyake kwa codename kisha kawapa code ya maelezo kwamba ikivuka 24 hrs hakuna kurudi nyuma.. ngoja masaa yanakimbia vibaya na muda sio rafiki mkweli
Kaka hivi hamja koma kujazwa TU alafu kimya? Usiamino sana hao watu, kesho ikopota kimya nam ignore
 
Sijajua motive ya muhusika wala modus operandi yake, nachoongelea ni hii mikwara sio migeni na sio yeye tu hata mdogo mtu alikuwa nayo; (mara Samia fanya hiki au badilisha kile ama sivyo utajua mimi ni nani n.k.) huyu alishasema mdogo wake ana chip kwahio wanajua yupo wapi na mambo mengi mengine - sasa sijui hadhira yake ni kina nani ila nikiongelea perception ya watazamaji wa huku na ukali wa mikwara yake (mpaka sasa ime-come short); ingawa huenda misleading na confusion ndio strategy yake (sijui); Kuna watu their Word is their Bond - Yaani akisema kitu lazima atatekeleza hata kesho akisema tena watu watachukua hatua haraka wakijua jamaa huwa hana utani - Maybe huyu sio mmoja wa hao...

Anyway who am I to Judge lazima anajua anachofanya - Ingawa kama kweli hizo data anazo na anajua mdogo wake yupo hai, hizi vuta nikuvute sioni kama zina msaada mkubwa - Unless kuna jambo analielewa zaidi na ameshapima hii ndio mbinu pekee... Bila kusahau kama ndugu na aliyepoteza mtu wake wa karibu lazima apewe benefit of doubt na leeway ya kutosha (pamoja na yote he is grieving even more than us) - Na huenda akikosa njia yoyote hata akatumia njia itakayoleta casualities....
Kaka samahani kidogo mi najiuliza mbona huyu jamaa hakamatwi na kikosi kazi, wanamuogopa?
 
Mimi sijui ingawa Augustino kwa mujibu wa Intelligence yake makini iliyopo karibu na walipomficha HP anasema HP hajafa kutokana na mnyetishaji wake anaempa hizo information anamwambia HP bado ameshikiliwa mateka kwa hio kilichobakia ni kuingia na mbinu za Komandoo Kipensi tu hakuna namna ili kumuokoa ndugu yake hana budi kuingia msituni..
Kama muvi vile wasisahau kirekodi nasi tucheki shoo japo huyo jamaa mikwara ya stendi
 
Vitisho vya kitoto, hana lolote.
Unatoa vitisho ukiwa chumbani!!
Naamini ndani ya masaa hayo Polepole hataachiwa tuone atakachofanya.
Na ukiona atakachofanya wewe utafaidika na nini?

Kwa hali tulipofikia kama taifa, kauli kama hizo si za kuzibeza!

Hata kama haumuamini jikalie kimya.

Watu walisema Oct 29 hapatakuwa na nywinywinywi wala nywenywenywe, zote hizo ni dharau mfano wa unazozimiliki wewe, matokeo yake yakawaje?

Acheni hizo jamani, muda huu si wa kuendeleza dharau.

Mtu asiye na lolote, hawezi kusimama kwenye mimbari huku akijiapiza kuwa atalipa kisasi kwa wahusika wote aliowataja!

Ni ngumu sana kwa raia from no where akatoa vitisho vizito vya namna hiyo.

Hapo kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
 
Na ukiona atakachofanya wewe utafaidika na nini?

Kwa hali tulipofikia kama taifa, kauli kama hizo si za kuzi
beza!

Hata kama haumuamini jikalie kimya.

Watu walisema Oct 29 hapatakuwa na nywinywinywi wala nywenywenywe, zote hizo ni dharau mfano wa unazozimiliki wewe, matokeo yake yakawaje?

Acheni hizo jamani, muda huu si wa kuendeleza dharau.

Mtu asiye na lolote, hawezi kusimama kwenye mimbari huku akijiapiza kuwa atalipa kisasi kwa wahusika wote aliowataja!

Ni ngumu sana kwa raia from no where akatoa vitisho vizito vya namna hiyo.

Hapo kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
Kaka mbona hawamshiki na haja Anza Leo?
 
Hana jipya huyu,,
Kabla ya 29/10 mlikuwa mnasema hivihivi: Ooh, watanzania waoga, hawawezi kuandamana.

In a fraction of time, yakawa, na sasa wajinga hawa serikali yao ya kipuuzi wote wako matatani, serikali iko kwenye denial mode, haiamini kama imetokea!

Kuanzia kesho baada ya 24hrs, mtashangaa kuanza kuona ng'ombe kina Kikwete, Samia (ng'ombe jike) wakiangukiwa na vitu vizito na kufa mmoja baada ya mwungine
 
Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi

Kama Polepole alivyokuwa kwenye denial kuhusu Magu na huyu yupo kwenye denial kuhusu mdogo wake. Bado hajakubali kuwa wamemuua mdogo wake aisee.
 
Huyu mwanamke atatawala hii nchi kwa taabu sana! Atajificha mpaka lini? Huku vi Gen-Z vimezuia matamasha ya aina yoyote yanayosimamiwa na serikali huku Kanali anatishia kupita naye! Kazi kweli kweli!
 
Polepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!
Pole pole hakuuliwa chumbani ila alikuwa na majeraha. Wakaona wakimpeleka mahakamani itakuwa soo wakammaliza baada ya kushauriana.
 
Back
Top Bottom