Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Jamaa anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia, nilikuwa sijaangalia clip zake muda mrefu hivi nilivyomuona hapa ni dhahiri ana msongo mkubwa wa mawazo.Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Canal ana ndevu kweliKaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi