PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

MendeOLD

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
196
Reaction score
405
Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani

Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo.

1- Watanzania wasiogope
ANa watia moyo watanzania na pia kijasusi kama ana wapa supu kama mbwa ana lishwa pilipili azidi kua mkali.

2. Yupo Tanzania,
Kama yupo Tanzania na kusema tunananzia sehemu flani maana yake hayupo peke ake yupo sehemu ambayo wapo wengi. Kama wapo wengi basi ni un remoted area polini, msituni au vichakani.

3. Kusema tunaanzia sehem flani
Maana yake ni kundi ambalo lipo well organised na strategic planning, kumbuka uyu ana all military plans za ku attack.

Tumefikaje hapa? Je kuna kikundi cha watu wapo sehem flani wanapata mafunzo flani kwa uchambuzi huo? Karibu tujadili kwa pamoja
 
1. Ana uchungu na ndugu yake. Si ni halali yake kujaribu kutetea na kumdai ndugu yake

2. Anahitaji msaada na uungwaji mkono wa sisi Watanzania kumtetea ndugu yake na wengine walioonewa na kudhulumiwa.
Kama wamekosea sheria za nchi zifuatwe ikiwemo kupelekwa mahakamani

3. Kuhusu Kutaja maeneo inaweza kutisha na kutoa wrong location kwaajili ya kufanya ambush katika maeneo mengine

4. Anajaribu kumwambia adui yake hisia zake lakini inaonekana adui ha-feel
 
Kamsikilize utakuja kuelewa
Sijaonan lolote la maana. Mwenye kutenda hawezi kutoa hadharani atatenda nini!
Porojo tu!
Kaptain Tesha aliongea haya haya hadharani, kilitokea nini?
Nasikia huyu ni Kanali, ni kweli?
Mbinu za vita humtangazii adui wako
 
Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani

Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo.

1- Watanzania wasiogope
ANa watia moyo watanzania na pia kijasusi kama ana wapa supu kama mbwa ana lishwa pilipili azidi kua mkali.

2. Yupo Tanzania,
Kama yupo Tanzania na kusema tunananzia sehemu flani maana yake hayupo peke ake yupo sehemu ambayo wapo wengi. Kama wapo wengi basi ni un remoted area polini, msituni au vichakani.

3. Kusema tunaanzia sehem flani
Maana yake ni kundi ambalo lipo well organised na strategic planning, kumbuka uyu ana all military plans za ku attack.

Tumefikaje hapa? Je kuna kikundi cha watu wapo sehem flani wanapata mafunzo flani kwa uchambuzi huo? Karibu tujadili kwa pamoja
Waliserious huwa hawana kelele ni action tu jamaa kelele nyingi sana
 
Jeshi lipo pamoja na ninyi

Kaka yake mdude ambaye ni mwanajeshi amesema atakuwa fronti na askari wenzake kuungana na wananchi

Kilichotokea sasa.....😒😒

Hizi kauli nikikumbuka zinaniuma sana hasa zile video watu wakiimba jeshi jeshi jeshi jeshi inaonesha kiasi gani zile propaganda za jeshi lipo pamoja na ninyi ziliwaingia watanzania

Round hii wanakuja na gia ya kaka yake polepole kanali wa NATO 😅😅😅
 
29Oct kuna watu walipuuzia
wengine wakasema wa tz ni waoga
mwishoni wakapewa suprise

Siku zote hautakiwi kupuuzia taarifa yoyote hata kama ni ya uongo!
 
Back
Top Bottom