PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani

Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo.

1- Watanzania wasiogope
ANa watia moyo watanzania na pia kijasusi kama ana wapa supu kama mbwa ana lishwa pilipili azidi kua mkali.

2. Yupo Tanzania,
Kama yupo Tanzania na kusema tunananzia sehemu flani maana yake hayupo peke ake yupo sehemu ambayo wapo wengi. Kama wapo wengi basi ni un remoted area polini, msituni au vichakani.

3. Kusema tunaanzia sehem flani
Maana yake ni kundi ambalo lipo well organised na strategic planning, kumbuka uyu ana all military plans za ku attack.

Tumefikaje hapa? Je kuna kikundi cha watu wapo sehem flani wanapata mafunzo flani kwa uchambuzi huo? Karibu tujadili kwa pamoja
Ndio wala urojo wakataka kitambulisho kuingia kwao maana ua ua ya 9 desember ni ndugu wa ngamia haram
 
Back
Top Bottom