Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy

Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy kwa kifupi yupo Corona positive.

At the moment nahisi jambo pia tumekutana in two weeks, personally najiweka quarantine nione majibu.

Huu ni ujumbe wake wa mwisho.

"🇨🇳🙏🏽...it wasn’t easy leave my family in that way 🥺 I do miss them a lot and I will keep doing my best for them🙏🏽 Thank you Arri China, specially Santana, Lilly and Rebecca for the big help for me to enter in China again🙏🏽 Today I will start the quarantine in Beijing. I’m grateful🙏🏽 the flight was long and the security check was even longer, they check the temperature twice when you are in the airplane, at every check point in the airport, before taking a taxi, when you enter at the hotel and before enter in the room too. It could be extremely but the result here are working. Quarantine Day 01 start today 🙏🏽 Sorry I couldn’t said a proper good bye to you bunny and friends but I’m sure we will meet again soon. Take care, keep Sheila and stay healthy 🙏🏽"
 
Huu ugonjwa umekuzwa sana na vyombo vya habari, ila uhatari wake ni jinsi unavyoambukizwa ila sio jinsi unavyouwa. Maana katika wanao ambukizwa wachache sana ndo hufariki yan chini ya 3%.

Cha muhimu ni kujitahidi kinga za mwili zisiwe chini.
 
Huu ugonjwa umekuzwa sana na vyombo vya habari, ila uhatari wake ni jinsi unavyoambukizwa ila sio jinsi unavyouwa. Maana katika wanao ambukizwa wachache sana ndo hufariki yan chini ya 3%..
Cha muhimu ni kujitahidi kinga za mwili zisiwe chini.
I believe itarudi katika hali yake
 
mkuu sasa hivi China ukiingia kama umetoka nchi ambayo kuna mgonjwa aliyethibitishwa nilazima utawekwa kizuizini.Haijalishi uko positive ama negative.

Hii ni baada ya few cases za watu waliokuwa abroad then wakaaingia china kupatikana positive.From now kupata visa za china toka baadhi ya nchi itakuwa a bit complicated,wachina sasa hivi nao hawataki watu waliotoka nchi zenye confirmed coronavirus cases.Number 1 Iran
 
Mpe pole kwa huyo uliye copy huo ujumbe.
Mkuu, kumbe siyo peke yangu, nimeliona hilo kwa jicho la 3....
Labda mleta mada atuambie yeye yupo nchi gani?? Na huyo kakake walionana wapi mara ya mwisho??

Everyday is Saturday....................😎
 
Hii i amaanisha watu wenye HIV wana hatari sana ya kufa kwa huu ungonjwa.. kwa hali hiyo huu ugonjwa ukizama nchi kama mzansi utaua watu wengi sana
Huu ugonjwa umekuzwa sana na vyombo vya habari, ila uhatari wake ni jinsi unavyoambukizwa ila sio jinsi unavyouwa. Maana katika wanao ambukizwa wachache sana ndo hufariki yan chini ya 3%.

Cha muhimu ni kujitahidi kinga za mwili zisiwe chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaly ndio kitovu cha kusambaza hawa wadudu kuliko hata china.
Bravo sana Zanzibar mliliona hili.

Ila huku bara pumbavu zenu.
History will pay back
 
Huu ugonjwa umekuzwa sana na vyombo vya habari, ila uhatari wake ni jinsi unavyoambukizwa ila sio jinsi unavyouwa. Maana katika wanao ambukizwa wachache sana ndo hufariki yan chini ya 3%.

Cha muhimu ni kujitahidi kinga za mwili zisiwe chini.

sio kukuzwa sana ila kuna ukweli juu ya tishio lake.Ukiona maisha yalivobadilika sasa hivi china ndo utajua hii kitu ni halisi.Huwezi toka nje bila mask,hiyo ni sheria,baadhi ya miji kama huishi kwenye eneo hilo mfano apartment building,huruhusiwi kuingia hata kama unaenda kwa mtu unayemjua aiishiye hapo.Kwenda sokoni,kwenye taxi,treni nk lazima upimwe joto.Unaweza ukapimwa joto mara zaid ya 30 kwa siku kama uko nje 😂kuhusu figure ya waliokufa,never trust the government.Ukiona madaktari wenyewe wanakufa(can't help their fellow) sembuse mtu baki.Namba zimepikwa.deaths ziko way above wanatangaza
 
Back
Top Bottom