Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy

Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy

sio kukuzwa sana ila kuna ukweli juu ya tishio lake.Ukiona maisha yalivobadilika sasa hivi china ndo utajua hii kitu ni halisi.Huwezi toka nje bila mask,hiyo ni sheria,baadhi ya miji kama huishi kwenye eneo hilo mfano apartment building,huruhusiwi kuingia hata kama unaenda kwa mtu unayemjua aiishiye hapo.Kwenda sokoni,kwenye taxi,treni nk lazima upimwe joto.Unaweza ukapimwa joto mara zaid ya 30 kwa siku kama uko nje [emoji23]kuhusu figure ya waliokufa,never trust the government.Ukiona madaktari wenyewe wanakufa(can't help their fellow) sembuse mtu baki.Namba zimepikwa.deaths ziko way above wanatangaza
Mungu ni mwema tunadunda
 
Back
Top Bottom