Kaka yangu kaforwadiwa ujumbe huu kwenye simu, afanyeje?

Duu kweli wanadamu tupo tofauti sana ,kwangu mimi ni Mungu ,Mama yangu the rest wanafuata
 
Theoretically yes but practically mama akiumwa na wewe ndiyo mtoto wakiume inabidi mkono uingie mfukoni mkuu.

Ninafahamu hilo ulilolisema vizuri sana.Tatizo ni tafsiri ya waafrika kuhusu hicho kifungu cha Biblia.Biblia sharti itafisiriwe kulingana na Mazingira,mintarafu utamaduni wa mahali husika.Afrika tuna extended family culture.Wenzetu (Europe,America na/au Asia) culture yao ni kinyume chetu.Kwa hiyo Muafrika akibeba kifungu hicho cha Biblia juu juu ataishia na kuparaganisha familia.
 
 
Alimuoa mtasahau yote anayowafanyia, amatamaa huyo tena sana. Fanyeni amtupilie mbali kabisa. Mie nasema ila sina makaka. Ni kwa miliyoyaona tu duniani watu wakitendwa.

Ila mkifikia kupewa cha kufanyia biashara au kujiendeleza mfanye sio kutumbua na kutaka kuendelea kuomba omba. Au pia wekeni bidii haswa kusevu kujiendeleza ni vizuri kujitafutia chako na kuwa na uhuru.
 
hiyo family yenu mawifi watakua na kazi ya ziada yani kitu kidogo tu ivo umefikisha JF na si ajabu mshakaa hadi vikao vya ukoo duuhh [emoji36]
 
hiyo family yenu mawifi watakua na kazi ya ziada yani kitu kidogo tu ivo umefikisha JF na si ajabu mshakaa hadi vikao vya ukoo duuhh [emoji36]
Shost ndiyo maana watu wa fake ID, you're free to pour your heart out.
 
The only day she will ever come before my mother is the day she becomes my mother which is impossible. No woman/human will ever take the place of my old lady. She is the only person im so certain that will be there for me at my very extreme worst. My wife is just my wife, I will luv her and cherish her but not as I would my mother, period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…