Kaka yangu kaforwadiwa ujumbe huu kwenye simu, afanyeje?

Kaka yangu kaforwadiwa ujumbe huu kwenye simu, afanyeje?

your wife should come before your mother and the same more to your siblings.
unapofunga ndoa umeachana na familia yako rasmi ila kuna matatizo ya msingi wewe kushiriki kama vile mama au baba anaumwa na hata ndugu ktk hali mbaya ya maradhi,msiba na kama kuna mkwamo wa kifedha kwa walioko shule lakini unatakiwa kuwa kama the last alternative na sio tegemeo lao.to me my wife comes first before my mother and my whole family.
Duu kweli wanadamu tupo tofauti sana ,kwangu mimi ni Mungu ,Mama yangu the rest wanafuata
 
Theoretically yes but practically mama akiumwa na wewe ndiyo mtoto wakiume inabidi mkono uingie mfukoni mkuu.

Ninafahamu hilo ulilolisema vizuri sana.Tatizo ni tafsiri ya waafrika kuhusu hicho kifungu cha Biblia.Biblia sharti itafisiriwe kulingana na Mazingira,mintarafu utamaduni wa mahali husika.Afrika tuna extended family culture.Wenzetu (Europe,America na/au Asia) culture yao ni kinyume chetu.Kwa hiyo Muafrika akibeba kifungu hicho cha Biblia juu juu ataishia na kuparaganisha familia.
 
I agree with you 100%[/QU

Waafrika lazima tujue kuwa hatuwezi kuendelea kwa kutupilia mbali hata zile tamaduni ambazo zina positive impact.Hii kitu eti kila mtu na familia yake imetuharibia sana jamii yetu.Hata hii disaster ya ukosefu wa maadili mema kwenye jamii yetu chanzo ni hicho.Zamani mtoto alikuwa ni wa ukoo,mtaa,kijiji.Leo mtoto wangu ni kwangu na mke wangu.Unategemea mtoto aliyelelewa kwa mtindo huo ataacha kuendeleza utamaduni huo kama huyo binti anayeongelewa kwenye huu uzi?

Kwa hiyo koo za Kiafrika ndio zinapaswa kuwa
Primary Social Funds.
 
Alimuoa mtasahau yote anayowafanyia, amatamaa huyo tena sana. Fanyeni amtupilie mbali kabisa. Mie nasema ila sina makaka. Ni kwa miliyoyaona tu duniani watu wakitendwa.

Ila mkifikia kupewa cha kufanyia biashara au kujiendeleza mfanye sio kutumbua na kutaka kuendelea kuomba omba. Au pia wekeni bidii haswa kusevu kujiendeleza ni vizuri kujitafutia chako na kuwa na uhuru.
 
hiyo family yenu mawifi watakua na kazi ya ziada yani kitu kidogo tu ivo umefikisha JF na si ajabu mshakaa hadi vikao vya ukoo duuhh [emoji36]
 
your wife should come before your mother and the same more to your siblings.
unapofunga ndoa umeachana na familia yako rasmi ila kuna matatizo ya msingi wewe kushiriki kama vile mama au baba anaumwa na hata ndugu ktk hali mbaya ya maradhi,msiba na kama kuna mkwamo wa kifedha kwa walioko shule lakini unatakiwa kuwa kama the last alternative na sio tegemeo lao.to me my wife comes first before my mother and my whole family.
The only day she will ever come before my mother is the day she becomes my mother which is impossible. No woman/human will ever take the place of my old lady. She is the only person im so certain that will be there for me at my very extreme worst. My wife is just my wife, I will luv her and cherish her but not as I would my mother, period.
 
Back
Top Bottom