Mi nlivyomwelewa anataka awe first priority kwa mumewe, labda kuna vtu anavyoona havimfurahish au pengne huyo mumewe anajal sana hao wadogo zake kuliko yeye so mi naona yuko right huwez jua ni nn kinamsibu kwa huyo mme wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nlivyomwelewa anataka awe first priority kwa mumewe, labda kuna vtu anavyoona havimfurahish au pengne huyo mumewe anajal sana hao wadogo zake kuliko yeye so mi naona yuko right huwez jua ni nn kinamsibu kwa huyo mme wake
Na ukimtukana utakula ban mkuu..sijawah kutukana mtu JF nadhani wewe utakua wa kwanza
Halafu yeye naye akakufoadia wewe?[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
endelea na msimamo huo ndugu ni mzuri sana. Ila baadae usirudi tena hapa kuomba ushauri baada ya kushindwa kwenda kwa ndugu zako kuomba msaada kwa kuwa uliwanyima slot katika familia yakoyour wife should come before your mother and the same more to your siblings.
unapofunga ndoa umeachana na familia yako rasmi ila kuna matatizo ya msingi wewe kushiriki kama vile mama au baba anaumwa na hata ndugu ktk hali mbaya ya maradhi,msiba na kama kuna mkwamo wa kifedha kwa walioko shule lakini unatakiwa kuwa kama the last alternative na sio tegemeo lao.to me my wife comes first before my mother and my whole family.
Mnakuwa mwili mmoja ila akili inahamia kwa mwanamke.Ndiyo maana mwanamume humwacha baba yake na mama yake, akaambatana na mkewe, nao wawili huwa mwili mmoja.
Mama yako miezi tisa, uchungu wa leba, na miaka 2 ya kukunyonyesha alineng'eneka na nani??ndiyo mke kwanza maana zile sarakasi pale kwa bed ananeng'eneka peke ake
haijalishi mama ana thamani yake kubwa tu!Ila asiwe kigezo cha kumnyima furaha mtoto wakeMama yako miezi tisa, uchungu wa leba, na miaka 2 ya kukunyonyesha alineng'eneka na nani??
Wanachelewesha maendeleo hizo hela ni zake hivi huyo mwanamke anajua uchungu wa huyo mumewe zaidi ya ndugu zake walio hangaika nae? Hivi alimsomesha?Yeye anaona cha mume wake ni haki yao, mnamcheleweshea maendeleo. Inategemea pia ametoka famila gani na malezi aliyokulia paia kipato chake. Familia za kiafrika kusaidiana ni desturi yetu, wifi haelewi wakati mnafanya kazi mnaweza kusaidia elimu ya watoto wake.
Mimi huwa nashangaa wanawake mlio wengi sijui kwanini mnakumbwa na huu ugonjwa? Hivi mtu mmekutana ukubwani wala hujui makuzi yake au watu walihangaika vipi jamaa kusoma au lah lakini unakuja na kutafuta sababu za kuwatenganisha ndugu.. Hivi kwani wengi wenu huwa hamjaribu kuvaa viatu vya ndugu hao..?Roho mbaya ya ubinafsi ki africa Africa kusaidiana muhimu aiseee
Sasa na yeye ofisini ameshatangaza mume wake kibosile, pesa ya kubadilishia gari unaambiwa ni ada ya mdogo wangu, kule alikotangaza ufalme heshima itashuka mkuu.Wanachelewesha maendeleo hizo hela ni zake hivi huyo mwanamke anajua uchungu wa huyo mumewe zaidi ya ndugu zake walio hangaika nae? Hivi alimsomesha?
Yani mtu mmekutana ukubwani halafu unataka aache kuwasaidia nduguze.
Wanawake mmeumbwa na ubinafsi wa hali ya juu sana na unaweza kukuta huyo jamaa ana wasaidia ndugu wa mwanamke lakini kuona mumewe anasaidia wa kwake basi ni nongwa.
Ukweli ni kwamba mwanamke anaye pambana kumtenganisha mumewe na ndugu huwa hafanikiwa na hata akifanikiwa ni kwa muda na mara nyingi hukimbilia kwa waganga.
Wanawake wa aina hii hawana tofauti na wachawi na wao kwenda kwa waganga ni kawaida.
Wewe ni mwanamke? Umeolewa? Yani mimi nikitaka kusaidia ndugu zako nikae kikao na mke wangu? Hahahahaha Kamwe kama kuna mwanaume ana fanya hivyo ujue ana tatizo kubwa.Wengi mmemtuhumu huyo mwanamke wamba ni mchoyo, mbinafsi, ana roho ya kimaskini n.k. Binafsi napenda kutofautiana nanyi. Nadhani huyu yako sahihi kwa asilimia nyingi sana. Nadhani mke yeyote ambaye anaelewa nafasi yake anasisitiza sana jambo hili.
Nilivyoelewa mimi huyu mke/mwanamke having kusaidia ndugu za mume bali anachohitaji ni kutambuliwa na kuheshimiwa nafasi yake kama mke. Kiufupi, kama tunakubaliana kuwa mume ni "kichwa cha nyumba", basi mwanamke ndiye "shingo ya nyumba" na familia ni "kiwiliwili".
Mleta mada mwambie brother wako amshirikishe mkewe katika mipango na mikakati mbalimbali ya maendeleo na ya kusaidia ndugu. Asimsirikishe mtu yeyote kabla ya mkewe na wala asifanye pekeyako. Hii inaweza ikaleta chuki na kutoelewana kati ya mume na mke, mke na ndugu na baadae mume na ndugu. Kama kweli anataka familia imara hilo halikwepeki. Leo tupo lakini hatuna uhakika na kesho.
Nime amini wanawake wengi ni wachawi na ukitaka kujua basi ingiza swala la ndugu.Sasa na yeye ofisini ameshatangaza mume wake kibosile, pesa ya kubadilishia gari unaambiwa ni ada ya mdogo wangu, kuwa alikotangaza ufalme heshima itashuka mkuu.