Kaka zangu tafuteni pesa

Kaka zangu tafuteni pesa

wanaume wengi tungekua na pesa hawa wanawake wasingepata wa kudate nao maana wengi ni wabovu tungeenda kudate warembo latin huko tunadate na watu kama wewe sababu hatuna pesa na msitake tuzipate sababu tutawaacha.
Kama haka ka@Noelia
 
Mbona wengi ni kama mmepinga ni kweli hamzitafuti mmepigwa na chuma kizito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukiipata hela unakula unachokitaka hela ina manupalation ya kutosha na usipokua na hela unakula kile ulichokikuta kwenye plate.. Hela nifaraja ya kutosha
ukiona hivo ujue bado wanakula ugali wa shemeji, hawajajua pesa inavoleta heshima, inarahisisha mengi sana.
 
Unamfurahisha mwanamke au atakufurahisha wewe, hela inakupa kila kitu unachokitaka hapa duniani hiyo ni mind set ya kimasikini ya kusema unatafuta pesa umfurahishe mwanamke[emoji1787][emoji1787], ukiwa na hela wao wenyewe watajileta utachagua tu yupi akupe furaha wakati ktk maisha yako, mwanamke ana utamu wake banah unawezaje kumuweka pembeni
huyu hatofautiani na hawa
FB_IMG_16438950698953565.jpg
 
wanaume wengi tungekua na pesa hawa wanawake wasingepata wa kudate nao maana wengi ni wabovu tungeenda kudate warembo latin huko tunadate na watu kama wewe sababu hatuna pesa na msitake tuzipate sababu tutawaacha.
ukumbuke nawe una udhaifu wako wakukunusuru ni pesa sijui umeelewa
FB_IMG_16443396972832620.jpg
 
Ndo maana wazungu wanatwambia tuna akili ndogo. Fedha ni sabuni ya roho na hilo hakuna mtu asiyejua, fedha inaongeza uhuru wa kuchagua nini ufanye, nini ule na saa ngapi. Lakini bado anatokea mtu anaamua kupinga!!
😁😁 ukichunguza anaepinga akili yake ndo hiyoo
FB_IMG_16440655841340595.jpg
 
Kila mtu ashinde mechi kuna siku tukutane kiwanja chochote dsm, Moro, Dodoma au arusha kila mtu humu aoneshe uwezo wake walau matumizi ya milioni 2-5 kwa siku hizi kelele za nguchiro,vidampa na vibwengo wanaoisema pesa kwa ushuz tuzione
 
Back
Top Bottom