kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Kama haka ka@Noeliawanaume wengi tungekua na pesa hawa wanawake wasingepata wa kudate nao maana wengi ni wabovu tungeenda kudate warembo latin huko tunadate na watu kama wewe sababu hatuna pesa na msitake tuzipate sababu tutawaacha.
Ndo kitu gani hicho?Kuwa na adabu
ukiona hivo ujue bado wanakula ugali wa shemeji, hawajajua pesa inavoleta heshima, inarahisisha mengi sana.Mbona wengi ni kama mmepinga ni kweli hamzitafuti mmepigwa na chuma kizito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukiipata hela unakula unachokitaka hela ina manupalation ya kutosha na usipokua na hela unakula kile ulichokikuta kwenye plate.. Hela nifaraja ya kutosha
Money is everything, ndiyo maana inahitaji jasho ili uichumeukiona hivo ujue bado wanakula ugali wa shemeji, hawajajua pesa inavoleta heshima, inarahisisha mengi sana.
Ngoja nitafute nije tuleEndelea kutafuta pesa ili kufurahisha wanaume wenzio
huyu hatofautiani na hawaUnamfurahisha mwanamke au atakufurahisha wewe, hela inakupa kila kitu unachokitaka hapa duniani hiyo ni mind set ya kimasikini ya kusema unatafuta pesa umfurahishe mwanamke[emoji1787][emoji1787], ukiwa na hela wao wenyewe watajileta utachagua tu yupi akupe furaha wakati ktk maisha yako, mwanamke ana utamu wake banah unawezaje kumuweka pembeni
ukumbuke nawe una udhaifu wako wakukunusuru ni pesa sijui umeelewawanaume wengi tungekua na pesa hawa wanawake wasingepata wa kudate nao maana wengi ni wabovu tungeenda kudate warembo latin huko tunadate na watu kama wewe sababu hatuna pesa na msitake tuzipate sababu tutawaacha.
😁😁 ukichunguza anaepinga akili yake ndo hiyooNdo maana wazungu wanatwambia tuna akili ndogo. Fedha ni sabuni ya roho na hilo hakuna mtu asiyejua, fedha inaongeza uhuru wa kuchagua nini ufanye, nini ule na saa ngapi. Lakini bado anatokea mtu anaamua kupinga!!
usipouelewa huo msemo wewe basi tena huna visionAka kamsemo " tafuta pesa " kamekaa kimalaya Sana ..Yaani utafute pesa kwa ajili ya mwanamke huo Ni UJINGA .
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
nakula za kwangu sihitaji vichenchi vyakoNgoja nitafute nije tule
Una hela we pimbi?Kama haka ka@Noelia
Acha dharau aiseenakula za kwangu sihitaji vichenchi vyako
Nimekupapasa tu ushaanza kutoa kamasi,,,Acha dharau aisee