Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

Hiyo mikoba classic ya pc ndo ikoje? Tupia hapa nichague mmoja.
Nina min hp
 
Usiwadharau aisee,majuz nipo nmb naweka 10 yangu nijihifadhie kuna jamaa aliingia na Marcello(begi) alikuwa anabadilisha pesa hizo burunguti alizotoa kwenye begi hilo..ni doooh!
Sina hizo hela but ninachokifanya ni kuwa kama niko mjini, kuna baadhi ya bidhaa naziweka humo kupunguza kubeba vifurushi vingi mkononi.
 
Muhuni acha ukorofi,we mwenyewe ndio umeniambia habari za kakiuno kashemeji ujue?
Sio ukorofi, uliposema kukosana na kaka umekosea, ni dada.

Yaani huyu shemeji ni mdogo wake mume wa dada! Mi mwenyewe nasita, mume wa dada akishtukia wanaweza wakanitimua, halafu sipendi kurudi kijijini.
 
Na sisi warugaruga ndio tunayapenda sana. Mwanaume sho shoo hakuna kuangalia warembo watasemaje. Ni mikausho mikali ya kiporipori
 
Bei yake ni rafiki na size ni kubwa unaweka vitu vingi sana
 
Sawa tutaacha, lakini na nyie mambo ya kubeba pochi nenee halafu inakua na sh mia nane sio fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…