Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangine hatupo pande hizoAnza kuangalia kesho sehemu yenye wanaume kumi Kuna wawili Wana hizo chata.hata usingoje picha
Mambo yenu ya Dar hayo mtajuana wenyewe huko..Anza kuangalia kesho sehemu yenye wanaume kumi Kuna wawili Wana hizo chata.hata usingoje picha
Jibu lako limekaa vizuri,maana nilikuwa nashangaa Sana mbona hizi Marcello zimetaradadi mjini?Ila angalau umesema una begi lingine classic.Nikiwa nanunua bag
Naangalia Space na arrangement yake ya ndani kama itafaa kwa size ya pc yangu, mifuko mingi ya kuwekea vitu kama vidokyumenti, chenchi chenchi na hata wallet sometimes
Naangalia pia rangi na muonekano wa nje kissi tena kama hizo marcello ndio zipo basic kwa kazi kazi,
So ukiniona nimevaa ujue nina mambo yangu kichwani Ila kama akili ikitulia kiofisho utaniona na laptop bag classic kidogo
Maelezo ni marefu kiasi Ila ni kwa ajili ya kukuonesha Tu kuwa unachokiomba kwa baadhi yetu HAKIWEZEKANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nanyi mnavyokuwa na mabegi makuubwa hayana nauri yamejaa tissue tu.
kumbe ni wewe mama ulikuwa unaniangalia pale, wow!Usiwadharau aisee,majuz nipo nmb naweka 10 yangu nijihifadhie kuna jamaa aliingia na Marcello(begi) alikuwa anabadilisha pesa hizo burunguti alizotoa kwenye begi hilo..ni doooh!
Moyo uliniuma sana na msimbaz yangukumbe ni wewe mama ulikuwa unaniangalia pale, wow!
Sio lazima hao ma designer wakubwa Kuna brand za kawaida tu,unacheki portability, durability na rangi ya kupoa,,hizo nilizozitaja zimetuna san
Mwanaume popote kambiJamani najua mko poa!
Hivi siku hizi kila Kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni,hayo mabebi Ni makubwaa Sana,na yamekaa kishamba shamba hivi,mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello,yaani unakuta mkaka mzuri,msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni,hivi mnawekaga nini humo jamaniiiiiiii?
Itoshe kusema tu hayawapendezi,mnaharibu Sana muonekano wenu na hayo ma Biowang mnakuwa Kama mmetoka Mbwinde bwana....hata Kama Ni laptops tafuteni mabegi mazuri,kwanza wengine hamna hata laptops Kuna makaratasi tu humo,Basi tu Tanzania likizuka Jambo basi Ni nongwa Kama wadada na vijora....
Acheni kumtajirisha Biowang na Marcello.
Asante kwa kuelewa
usijali hazikuwa zangu ata, ni bosi kanitumaMoyo uliniuma sana na msimbaz yangu