Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahahaYaan sielewi hivi mmekuwaje nyie
Namuona le superstar wanguu mwenyewe!..Tehtehteh...superstar unamwona huyu mtoto.
Superstar penzi kikohozi kitasikika tu.Namuona le superstar wanguu mwenyewe!..
Kumbe ningekaa kimya eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Superstar penzi kikohozi kitasikika tu.
Hahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo tumekohoa eehhh
Asante kwakutaka kufahamu..nikwamba wakwanza amehitimu kidato cha Nne nakupata Div 1 ya alama mwanzo na Sasa A level kachaguliwa Marian Girls Mungu ni Mwema wakati wote.KakaKiiza
Tuambie watoto wanaendeleaje, watakuwa mabinti wakubwa sasa.
Ulioa tena au umeamua kuwa single father?
Leo mmeutumia uzi wangu kutiana
Hamu ila kila la heri sasa amieni PM Kutanoga sana maana mwisho mtaondoa maana ya Uhu Uzi. Nihayo tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwakutaka kufahamu..nikwamba wakwanza amehitimu kidato cha Nne nakupata Div 1 ya alama mwanzo na Sasa A level kachaguliwa Marian Girls Mungu ni Mwema wakati wote.
Ni bidii kukaa nafamilia karibu na kila mtu kazaliwa na akili ila kunahitajika jitihada kuziongeza pia unatakiwa kutenga muda mwingi kwa ajili ya watoto nakila kitu kitaenda utakavyo kwangu ambaye nilikuwa single father nilibadili tabia hasa kwenda katika virabu na kupungunza muda wakukaa nje hivyo muda mwingi niliutumia kukaa na watoto wangu.Shikamoo kaka!barikiwa sanaa daah!natamani sana binti yangu aje kua km huyo wako!mpe hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Raynavero kaa mbali na huyu malaya. Usije sema sikukushauriNi bidii kukaa nafamilia karibu na kila mtu kazaliwa na akili ila kunahitajika jitihada kuziongeza pia unatakiwa kutenga muda mwingi kwa ajili ya watoto nakila kitu kitaenda utakavyo kwangu ambaye nilikuwa single father nilibadili tabia hasa kwenda katika virabu na kupungunza muda wakukaa nje hivyo muda mwingi niliutumia kukaa na watoto wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema anamuingiza kingiRaynavero kaa mbali na huyu malaya. Usije sema sikukushauri
Ewaaaaa
Niko na 55
HahahahaHumu wahenga ni wengi ujue