KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
- Thread starter
- #221
Jambo forumHongera mkuu...sisi wenye zaidi ya muongo mmoja tunacomment wapi?
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo forumHongera mkuu...sisi wenye zaidi ya muongo mmoja tunacomment wapi?
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kaka!Mungu ainue kizazi chako kiwe bora sanaNi bidii kukaa nafamilia karibu na kila mtu kazaliwa na akili ila kunahitajika jitihada kuziongeza pia unatakiwa kutenga muda mwingi kwa ajili ya watoto nakila kitu kitaenda utakavyo kwangu ambaye nilikuwa single father nilibadili tabia hasa kwenda katika virabu na kupungunza muda wakukaa nje hivyo muda mwingi niliutumia kukaa na watoto wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!jamani hata kumpa hongera tu!Raynavero kaa mbali na huyu malaya. Usije sema sikukushauri
Hongera sana Kaka Kiiza. Humu JF kuna watu wema pia. Hakika we we in mmoja wapo. Bado unapatikana Tegeta?
Hongera sana KakaKiiza umetuonesha more of positive parts than the negatives
Aamin
Sema anawivu kwani dhambi kuwa na mtoto kama wewe?Kwa kweli huyu babu ana vituko mnooo..hahaaa!! Hongera sana tena kwa malezi mazuri ya mabinti zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahaaa....!!atakufa kwa presha babu yangu!sio dhambi lakini ngoja tuendelee kumheshimu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Hii ndo raha ya kuwa mhenga.Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, namuona legendary anajipigia pasiHii ndo raha ya kuwa mhenga.
Unamuona Kakakiiza anavyopiga ndogondogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa...shemeji mamboo!!!Hii ndo raha ya kuwa mhenga.
Unamuona Kakakiiza anavyopiga ndogondogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, namuona legendary anajipigia pasi
MTC | 101| [emoji769]