KakaKiiza 2010 February 16 Mpaka leo 2019 February 16!

KakaKiiza 2010 February 16 Mpaka leo 2019 February 16!

Brother mbona tunavunjiana heshima ni lini nilikuvunjia heshima siyo wote tunajua utani kwani lazima ukomenti?sipita kimya kimya kama huna mawazo chanya mtu umjui unaleta ushabiki mandazi mfate rafiki yako Mtambuzi wazee wa maclient

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka nakutaka radhi....

samahani sana mtakatifu Kakakiiza.
 
Hongera sana KakaKiiza ... nitamke wazi tu mkiwa kama members wa mwanzo mwanzo kujiunga " sisi members ambao hatuna miaka mingi sana humu Tunapaswa kuwa shukuru na kuwapongeza " sana .... maaana uwepo wenu ndio chacho iliyoweza kuchangia kutuvuta sisi wengine na hatimae leo hii Jf imeweza kuwa moja ya mtandao unaotugusa kabisa toka katika kilindi cha moyo " ..... kama usingekuwepo uwepo wenu humu basi leo hii ingekuwa nadra sana kwa jf kuweza kuwa na sifa hizi ambazo inazo leo " ...MSINGI WA JF ni watu bora Wenye maarifa ya hali ya juu " Ambayo yame changia kuweza kutatua kero za jamii yetu kwanamna moja au NYingine "

SHUKURANI KWA UONGOZI WA JF NZIMA TUNAITAMBUA MCHANGO WENU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom