KakaKiiza 2010 February 16 Mpaka leo 2019 February 16!

Hongera sana mkuu. Sisi wengine ni wapya au wageni. Hongera kwako kwa kufikisha umri huo ukiwa JF. Hakika MUNGU ni mwema wakati wote,wakati wote MUNGU ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo kaka!barikiwa sanaa daah!natamani sana binti yangu aje kua km huyo wako!mpe hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bidii kukaa nafamilia karibu na kila mtu kazaliwa na akili ila kunahitajika jitihada kuziongeza pia unatakiwa kutenga muda mwingi kwa ajili ya watoto nakila kitu kitaenda utakavyo kwangu ambaye nilikuwa single father nilibadili tabia hasa kwenda katika virabu na kupungunza muda wakukaa nje hivyo muda mwingi niliutumia kukaa na watoto wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raynavero kaa mbali na huyu malaya. Usije sema sikukushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…