Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

MUNGU WA WAKRISTO NI MUNGU MKUU.....!
HATA shetani APINGE.......YESU ATAHUBIRIWA....!
 
Hawa TANESCO wanamatatizo sana, kama mtu akijenga karibu na high tension line wanambomolea nyumba yake kwamba anahatarisha usalama wake. Je hili la sasa kupitisha line karibu na kanisa lenye maelfu ya waumini, ikitokea ajali ya waya kukatika hao watu watakaokufa tutasema ni mapenzi ya Mungu? Maswala mengine hayahitaji hata kumaliza shule ya chekechea ili ujue hatari iliyo mbele ya mpango huu wa TANESCO! TANESCO tafuteni mahali pengine pa kupitisha nyaya zenu sio mahali kwenye makazi ya watu.
 
Picha inafifia sana ipp media itakuwa waliipa zamani sijui nahisi enzi zakikwete ambazo palikuwa na matatizo pia ya umeme
 
Hii ni ya long sana, wakati ule yeye na waumini wake wanagoma umeme mkubwa usipite kwenye kanisa lake
 
Hii picha ya mda mrefu sana na kakobe alivaa hiyo tshirt tanesco walitaka kubomoa nahisi kanisa au umeme mkubwa usipite kanisani kwake
 
Mapicha ya zamani hayo
Alisema umeme hautawaka, umeme ukawaka na high voltage transmission line ikapita pale kanisani kwake na kuvunja sehemu ya kanisa... bado majitu hayajifunzi kuwa hawa ni matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…