Hizi double standard za nchi hii inakera sana! Viongozi wa Kiislam wakizungumza mambo yenye kugusa maslahi ya wananchi wanaambiwa wasichanganye mambo ya DINI na SIasa, Akina Sheikh Ponda, Faridi wakiendesha harakati za kuwakomboa Waislam kudai Zanzibar Huru wanaambiwa ni magaidi wanafanyiwa fitna tena na vyombo vya usalama! ...Nakubaliana na Mhe Lisu 100% nchi hii imejengwa katika misingi ya Uwongo ... Inakuwaje jambo lile lile akizungumza Muislam inaonekana la kigaidi, akizungumza Mkristo linaonekana linatija?... Wengine kama akina Lukuvi wao wameenda to the extreme! Mbona kimya? ... "Watanzania tutaangamia soon kwa kukosa maarifa" Something should be done ASAP...