Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Neno askofu linatumika vibaya. Kila anayeibuka anajiita askofu. Hao 32 ni wepi? Ili uwe askofu si mchezo. Askofu ni phd holder.
kwasababu kagusa maslahi yenu?neno askofu linatumika vibaya. Kila anayeibuka anajiita askofu. Hao 32 ni wepi? Ili uwe askofu si mchezo. Askofu ni phd holder.
Hao maaskofu ni wa madhehebu gani? Baba yetu Pengo ameshatoa msimamo wake. Wengine ni wapiga mayowe tu
kama ilivyo ccmkwa kawaida mawakala wa shetani wanakuwa majasiri kweli
wewe ndo mchumia tumbo tena utuachie maaskofu wetu wanahaki ya kuwakanya watawalaKwani hao maaskofu waliotoa Kauli za kipuuzi akiwemo Kakobe wametumwa na waumini wao? Acheni kuwashabikia hawa wachumia tumbo
Mkuu, kwani kuna akina Bill Gates wangapi? Unaweza kulinganisha na Maaskofu? Uaskofu si jina bali mtu huupata kwa kusomea na aili uwe askofu, unapaswa kuwa na kiwango fulani cha elimu kama Manyerere alivyosemaKweli PhD inaitajika lakini siyo lazima kwani Bill Gate hakuitaji PhD kwanza kuasisi hiyo program unatumia kupost ujumbe wako
CCM ni chama tawala na hao wanaopiga mayowe wapo chini ya itawala wa CCM.kweli mwaka huu ccm wanalo kwa mara ya kwanza maskofu na mashekh kuwa na msimamo mmoja(waislam na wakristo) ccm tunakazi
Wapi Masheikh na Mapadri wametoa tamko la pamoja?kweli mwaka huu ccm wanalo kwa mara ya kwanza maskofu na mashekh kuwa na msimamo mmoja(waislam na wakristo) ccm tunakazi
Hao wanapiga mayowe tu na kelele za chura hazimzuiii tembo kunywa majiNdio hivyo sasa kama ccm mwataka hamtaki lakini habari ndio hiyo
Hahahahahaaaaa! Mtahangaika sana na hao mawakala wa Shetani. CCM ndo chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi hiiwewe ndo mchumia tumbo tena utuachie maaskofu wetu wanahaki ya kuwakanya watawala
Neno askofu linatumika vibaya. Kila anayeibuka anajiita askofu. Hao 32 ni wepi? Ili uwe askofu si mchezo. Askofu ni phd holder.[/QUOTE]
Mkuu siyo kweli kuwa askofu lazima awe na PhD hata hao makadinari kama huyo Pengo hata yeye hana PhD.
Una uhakika na ukisemacho mkuu?
Hoja yako ipo wapi wewe?Hiyo qualification uliiona wapi mkuu.Halafu Mhariri wa Gazeti ni lazima ujue kuandika.Ni Ph.D na sio phd.
Neno askofu linatumika vibaya. Kila anayeibuka anajiita askofu. Hao 32 ni wepi? Ili uwe askofu si mchezo. Askofu ni phd holder.
Lukuvi naye ni Askofu wa dhehebu gani?
Kwa kawaida mawakala wa shetani wanakuwa majasiri kweli