Kakolanya atendewe haki

sasa si walipwe.shida ni nini?
au ndo UKITAKA UBAYA DAI,CHAKO.
 
Hivi huyo mwalimu au hao viongozi wangecheleheshewa mishahara yao wangeendelea kufanya kazi yanga?
 
Mimi ni Mwana Yanga lilia,
Yanga hatumtendéi haki Kakolanya, kwani si wa kwanza kugoma. Unaposema afuate taratibu za kudai zipi?
Aende mahakani au anyamaze asilipwe, Swala wanadai wengi sikigezo cha kunyanyasa wachezaji.
Yanga tunakiburi kwa kuwa tunashinda, subili tupigwe gem ka 1 au 2, wote mtamgeuka huyo Kocha.
Yanga pale akiumia Kabwili hakuna Goalkeeper pale, Huyo mkongo hakuna kitu.Yanga tuwe clear kama tunamtosa Kakolanya tuvunje mkataba tumlipe chake. Halfu muone kama atakaa hata robo msimu bila timu. Nyie mnao shadadia, usipewe mshahara hata mwezi mumoja kama hamtaandamana. Serikari imesema haina uwezo wakuongeza mishahara kilamumoja ana lalama, sembuse unyimwe kabisa? Kuweni serious.
 
Sawa Kiongozi. Dida na Nduda watendewe haki vile vile. Haiwezekani Manula wa kufungwa za mbali adake peke yake. Iwe jua au mvua.
 
Haki ya BENO haiwezi kupotea kwa vitisho vya kocha... alipwe stahiki zake ni haki yake.
Yanga sio timu ya shule ilipe watu
 
Do not be that much biased, coach hawezi vunja mkataba! Unajua agent wa kalolanya ni simba! It seems mna ajenda ya siri kuihujumu yanga kama mnavyomhujumu JPM
100% nakubaliana na wewe, kuishi na MTU mnafika ni hatari sana, uchochezi kwao ni jambo lisilokwepeka, hawafai hata kidogo.
 
Haki ya BENO haiwezi kupotea kwa vitisho vya kocha... alipwe stahiki zake ni haki yake.
Yanga sio timu ya shule ilipe watu
Unaujuwa mkataba was Beno na Yanga? Kama ndiyo endelea kupiga filimbi, kama siyo kaa kimyaa, maana kelele zako zitakuwa ni unafiki mtupu.
 
Hakuna nafasi ngumu kwenye mpira kama golikipa...Zahera amrudishe Benno au ataondoka yeye...
Mbona hata Ninja atadaka Ikibidi na pwenti tatu ziko pale pale. Yanga habari nyingine.
 
Kwa hyo viongozi wanalipana kwa wakati,ila wachezaji hapana,wakidai haki zao mnaona ni utovu wa nidhamu.hata hawa wanajeshi na polisi tunaowaita wazalendo.ikitokea siku mishahara yao,imepita miezi 3 lazma pachimbike.
acheni mahaba niue.hyo ni kazi kama kazi nyingine.beno hajakurupuka.
Bali alivumilia sana ila mlikuwa.mnamzungusha.
MPIRA PESA.
Wamgelalamika kupitia ngazi na taratibu husika, ambazo zungeishia na wao kuvunja mkataba kama ingelazimu.
 
Mkuu mbona unakariri kitu hichohicho kilichokwishafafanuliwa? Tunazungumzia lililotokea, la Kakolanya, hatuzungumzii lisilotokea la viongozi kutolipwa. Tunazungumzia namna ya Kakolanya kudai Haki yake kuwa si sahihi, hatuzungumzii kwamba Kakolanya hana haki ya kudai. Tunazungumzia uhalisia wa mambo, hatuzungumzii mahaba yangu wala chuki zako.
 
Hawajui kuwa kakolanya ndiye koch no2 wa yanga
 
Ndo inavyoonesha yanga inapesa wasikudanganye ww mshabiki sijui mshangiliaji
 
Kakolanya angetumika na simba angachia gemu ya simba na yanga mliomwachia acheze peke yake, mwachezaji wengine wakakaa nyuma wote kugeukaabeki ,natamani gemu ya simba na yanga ingekuja mapema tuwapigeuhuri
Do not be that much biased, coach hawezi vunja mkataba! Unajua agent wa kalolanya ni simba! It seems mna ajenda ya siri kuihujumu yanga kama mnavyomhujumu JPM[/QUOTE
 
Haki ya BENO haiwezi kupotea kwa vitisho vya kocha... alipwe stahiki zake ni haki yake.
Yanga sio timu ya shule ilipe watu
Halafu kwa timu kama yanga Zahera Mwinyi si mwajiri wa Kakolanya , hana uwezo wa kumtimua , ndio maana msala utakapoibuka uongozi wa Yanga ndio utawajibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…