Kakonko: Makusanyo kwa mwaka ni Tsh. Milioni 539, lakini Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya umetengewa Tsh. milioni 700

Serikali inabidi ipambane na ufisadi kwa njia zote.. Huu ni wizi wa wazi wazi
 
Aya kipofu,, itabaki kuwa tu hiki chama changu ni wapigaji tu,, mwanzo mwisho,,CCM ni ile ile wameipenda na wataikoma
 
Aya kipofu,, itabaki kuwa tu hiki chama changu ni wapigaji tu,, mwanzo mwisho,,CCM ni ile ile wameipenda na wataikoma
Ukiutazama ufisadi kwa miwani ya uchama utachelewa sana. Kwani nje ya CCM ndio hakuna ufisadi?
 
Kazi iendelee..
 
Ummy Mwalimu kayakanyaga
 
Mbona hilo dogo, Je! Chato airport nalo hausiki? Twende kwenye bajeti ya ununuzi wa ndege tulinganishe na bajeti ya Afya au elimu.

Like father like son
 
" Mtamkumbuka"
 
Well done watanzania makini. Mwendazake katufungua macho hawa jamaa wakianza upuuzi tutatoana macho
 
Aisee 🤔🤔🚶🚶🚶
 
Hiyo nyumba ni ya kuishi au ofisi mkuu?pesa yote hii ni nyumba ya aina gani hiyo.huu ni aina nyingine ya ufisadi.Tutajuta.
 
Hahaha kweli upigaji hautakaa uishe. Hiyo 700 million anajengewa mansion au?
... zinajengwa palace za kutosha wilayani huko. Viongozi hawawezi kuishi kwenye vijumba vya ovyo ovyo. Hata marais wastaafu walikabidhiwa zao na mwendazake.
 
Sijui maudhui ya huu uzi, sababu mapato/matumizi ya nchi yanatokana na mapato jumuishi. Sio mapato ya eneo fulani ki jiografia. Miradi ya kitaifa inajengwa toka fuko kuu la hazina ndio maana ya kuwa na bajeti. Hii inasaidi yale maeneo ambayo mapato yake hayatoshelezi na kuwa na miundombinu ya maendeleo kama sehemu nyingine.
 
Duuh ,

Mapato 100,000/=

Matumizi 95,000/=

Fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo 5,000/=.

Typical Tanzanians , ndio tunafurahia mambo kama haya.
Hivi huoni kwamba ukiikarabati hiyo nyumba itakaa miaka kadhaa kabla hujadaiwa kuitengeneza tena? Kwa hiyo huwezi kulinganisha mapato ya mwaka mmoja na matumizi ambayo hutatakiwa kuyafanya tena mpaka baada ya miaka kadhaa. Halafu watanzania wenzangu hivi hamjui kuwa nyumba ya mkuu wa wilaya/mkoa ni ikulu ndogo? Sasa mil. 700 ni kitu gani ukijua kwamba gharama hizo zinahusu ulinzi na usalama?
 
Unataka tuamini kuwa Jiwe alikuwa anapiga vita rushwa?Pengine kwa asiyefahamu maana ya rushwa/ufisadi.Wanasiasa walinunuliwa,Uchaguzi zilihujumiwa,manunuzi yalifanyika bila kufuata sheria,mikataba imeendelea kufanywa siri hata kwa Bunge,upendeleo kwenye miradi,ajira,teuzi nk.
Je,kwa jinsi hiyo unamtenganishaje na hayo madudu?Yakiwa vizuri/sirini(kabla ya kufichuliwa) sifa zimwendee Jiwe ila vikibainika walaumiwe watendaji?
 
Huu ni wizi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…