wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Uongozi wa CCM umejaa wezi tupu ,sasa kukarabati Nyumba tu unatumia milioni 150 ,je kujenga si watatumia bilioni 2? Sasa hiyo 150m si unajenga nyumba nzuri tu ya kisasa?
Ni ukosefu wa upeo na vipaumbele ktk kufanya matumizi na maamuzi...