Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

😅Upo sahihi ! kuna kale ka-feelings yaani jamaa kapiga halafu kashindwa kumuoa hapa kuna tatizo mahali tu.
 
Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"🤣🤣🤣🤣
 
Kwa experience yangu ya kudate na single moms wawili Kwa nyakati tofauti, nampongeza sana huyo mwamba kwa kukiepuka kikombe hiki. Kina siki chungu ajabu.
Amini namkuambia si rahisi kudeal na:

1. Personal weaknesses za mtu, plus
2. Baby-daddy drama
3. Yeye na mwanaye against you.
4. Other men looking down on you kwa uamuzi huo ambao wanaofaidika nao wala hawauthamini.
5. Many other things.
 
Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"🤣🤣🤣🤣
Msikilize Doug Supernaw (R.I.P), kuna kitu utajifunza na kukubaliana na mimi kwamba mambo si mepesi kama wengi wanavyoyaongea kirahisi rahisi. Huyu dogo unamtengaji na baba yake? Si ni kumtesa tu mtoto wako kwa tamaa zako za kutafuta sifa za kuolewa? Mimi kila week lazima nije nimchukue. Lazima utatema bungo tu na kuniachia mtoto. Kwanza sitamchukua, nakuachia ukae naye ili niwe nakujakuja
Your browser is not able to display this video.
 
sasa mimi nimejichanganya nikakaita kadem kana kama 23 hivi kalipigwa mimba kakiwa primary akapigwa tena ....kamenganania geto ikabidi nikaambie jaga kaya..usijifiche kwenye ndoa kukwepa majukumu yako wewe ni mama wa watoto wawili unawajibika kupambana kutafuta future ya watoto wako...single mama kwa upande wa aweze kujimudu tena ikiwezekana kunishinda...na ukimpata huyo nae hakutaki kabisa anaona unataka kumnyonya
 
Ooh! Naomba namba ya mdogo wako please, asife Moyo,
 
Sasa shemeji ndio umekuja mpaka huku kuninanga? Ni kweli kitendo cha mdogo wako kua na mtoto kimenikata stim, mbaya zaidi bado anawasiliana na mzazi mwenzake. Nimeamua kujiongeza, mwambie aendelee na maisha yake.

Mwamba katuwakilisha vyema sana,
 
utaoaje mwenye mtoto wakati mabinti walojitunza wako?,kwanza hawezi mvulia ch**pi na kumzalia mtu ambaye hampendi utaoaje mke wamtu bana wakati wanaotaka ndoa wapo kibao? labda akuonyeshe kabli la alomzalisha na ujihakikishie kwa macho mawili... n.b. ukizalishwa komaa na aliekuzalisha una sumbua wanaume wengine kivipi? nani kijana anaejitambua anataka aanzishe maisha na mwenye familia?
 
Sasa unalazimisha mtu apende asichopenda?

Are you that desperate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…