Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Bora wewe unayetulaani sisi wazalishaji kuliko anayelaani wanaokataa kubeba mizigo ya wengine.
Hizu nguvu na kampeni wanazozitumia kushawishi watu waoe wanawake waliozalishwa na kuwaponda wanaokataa ni vyema wangezitumia kushawishi wazalishaji wawarudie wanawake zao.
We mtu ameshazalishwa na aliyemzalisha kakwepa kuwwka ndani na kutafuta mwingine, halafu mtu anakuja jitia kuherehere kujifanya yeye ataweza.
Wawarudie hao waliowazalisha wawashawishi waone kama ni inawezekana.
😅Upo sahihi ! kuna kale ka-feelings yaani jamaa kapiga halafu kashindwa kumuoa hapa kuna tatizo mahali tu.
 
Mimi nikikuzalisha labda uniachie mtoto, kinyume na hapo lazima kila wiki nikupigie wewe au mume wako mnipe maendeleo ya mtoto wangu na niwapatie maelekezo ya namna ya kumlea.
Lakini ukiniachia mtoto wala sitakua na issue na wewe, na wala hautatusikia popote pale. Zaidi nitakutakia maisha mema.
Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"🤣🤣🤣🤣
 
Kwa experience yangu ya kudate na single moms wawili Kwa nyakati tofauti, nampongeza sana huyo mwamba kwa kukiepuka kikombe hiki. Kina siki chungu ajabu.
Amini namkuambia si rahisi kudeal na:

1. Personal weaknesses za mtu, plus
2. Baby-daddy drama
3. Yeye na mwanaye against you.
4. Other men looking down on you kwa uamuzi huo ambao wanaofaidika nao wala hawauthamini.
5. Many other things.
 
Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"🤣🤣🤣🤣
Msikilize Doug Supernaw (R.I.P), kuna kitu utajifunza na kukubaliana na mimi kwamba mambo si mepesi kama wengi wanavyoyaongea kirahisi rahisi. Huyu dogo unamtengaji na baba yake? Si ni kumtesa tu mtoto wako kwa tamaa zako za kutafuta sifa za kuolewa? Mimi kila week lazima nije nimchukue. Lazima utatema bungo tu na kuniachia mtoto. Kwanza sitamchukua, nakuachia ukae naye ili niwe nakujakuja
 
sasa mimi nimejichanganya nikakaita kadem kana kama 23 hivi kalipigwa mimba kakiwa primary akapigwa tena ....kamenganania geto ikabidi nikaambie jaga kaya..usijifiche kwenye ndoa kukwepa majukumu yako wewe ni mama wa watoto wawili unawajibika kupambana kutafuta future ya watoto wako...single mama kwa upande wa aweze kujimudu tena ikiwezekana kunishinda...na ukimpata huyo nae hakutaki kabisa anaona unataka kumnyonya
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Ooh! Naomba namba ya mdogo wako please, asife Moyo,
 
Sasa shemeji ndio umekuja mpaka huku kuninanga? Ni kweli kitendo cha mdogo wako kua na mtoto kimenikata stim, mbaya zaidi bado anawasiliana na mzazi mwenzake. Nimeamua kujiongeza, mwambie aendelee na maisha yake.

Mwamba katuwakilisha vyema sana,
 
utaoaje mwenye mtoto wakati mabinti walojitunza wako?,kwanza hawezi mvulia ch**pi na kumzalia mtu ambaye hampendi utaoaje mke wamtu bana wakati wanaotaka ndoa wapo kibao? labda akuonyeshe kabli la alomzalisha na ujihakikishie kwa macho mawili... n.b. ukizalishwa komaa na aliekuzalisha una sumbua wanaume wengine kivipi? nani kijana anaejitambua anataka aanzishe maisha na mwenye familia?
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Sasa unalazimisha mtu apende asichopenda?

Are you that desperate?
 
Back
Top Bottom