Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

mtaani kwetu kuna jamaa (Mwenyekiti wa Mtaa) alioa single maza mwenye mtoto wa kike alivyokuwa mkubwa siku moja akawa anagombana na Mkewe mara paap mtoto wa mwanamke akampasua na chupa usoni. mimi sijui kuna tatizo katika ulimwengu wa kiroho kuoa Single Mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tena kubwa sana.
 
Dada zetu kwa kweli mtusamehe tu, ushauri mzuri ni kwamba "kwa vyovyote vile usikubari kushika mimba kabla ya kuwa mke rasmi.
Kijana ambaye hana mtoto kuoa mke mwenye mtoto hiyo ni ngumu mno. Kama wapo ni wachache Sana, binafsi nilishindwa na mungu anisamehe kwa kweli daah
 
Mungu akusamehe kwa lipi sasa? yaani kuacha kuoa Single Maza Mungu akusamehe? wewe Mshukuru Mungu kwa kukuepusha kuoa Single Mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki huyo binti. Alikuwa anajaribu kukuchota tu hana lolote.
ndio ilikuwa janja yao miaka ya nyuma kidogo hapa kuwalaghai vijana kwamba wanaume waliozaa nao wanwachukia sana. kumbe nyuma ya pazia wanawasiliana na kupeana mzigo. sasa vijana wamesanuka hawawataki tena labda kuwagonga tu na kupotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio huu ujinga wa kulelea mtotovwa mtu na kujifanya eti nampenda pamoja na mama yake. umtunze mtoto wa mtu kesho na kesho kutwa yuko kwa baba yake sasa sijui wewe utaitwa nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
(HAPA NDIPO LILIPO TATIZO SUGU, KUPITIA MAWASILIANAO NA HUDUMA KWA MTOTO. HABARI YA KUFANYA MATUSI HAIKWEPEKI. HII IKO WAZI NA HAINA UBISHI.HUYO NI MKE WA PILI WA JAMAA)

Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
(HAIJAWAHI TOKEA MTOTO WA NJE AKAWA NA URAFIKI AU UKARIBU NA BABA WA KUFIKIA. HAKUNA HIYO, KAMA UPO BASI NI KWA MSAADA WA UNAFIKI )

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
(KAMA BABA YAKE MTOTO ALISHINDWA KUISHI NA MAMA YAKE, MIMI NI NANI WA KUWEZA?)

KIKUBWA ENDELEENI KUZAA,KUWA SINGLE MAZA NI FASHENI.
 
Mungu akusamehe kwa lipi sasa? yaani kuacha kuoa Single Maza Mungu akusamehe? wewe Mshukuru Mungu kwa kukuepusha kuoa Single Mother

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi nikiwa kijana 26 yrs nilikuwa na single mother kwenye mahusiano.
Akataka nimwoe nikamweleza sitakuoa kwa kuwa najijua nilivyo.
Kila nikitaka kumwacha ananing'ang'ania anakuja na kilio juu ooh nimekuzoea, ananipa mi napiga akapata ujauzito, hapo ndipo alitaka kuhamia kwangu mara baada ya kujifungua. Kilichoendelea ndiyo nasema mungu anisamehe
 
Na nyie msikubali kumwagia ndani au kutokutumia ndom,Ili kuepuka haya,vp wale wanaobakwa?( )
 
Wewe uliyeoa mke rasmi ndio uliyempa mimba single Maza[emoji3] akawa single ambaye Kwa sasa unamnanga jukwaani,duuuh
 
Hakuna kitu inaumiza eti anakuaga natoka naenda sehemu halafu unakuja kufumania liko na mzazi mwenzake,halafu anaanza kujitetea eti ohh nilikuwa nimefuata matumizi ya mtoto...
Mkiambiwa msijenge viwanja vya watu hamsikii
 
ulimwongezea machungu mkuu. so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No single mothers No stress za kugongewa na kupashiwa kiporo!😂...huyo mwamba alomkataa mdogo wako apewe maua yake
 
No single mothers No stress za kugongewa na kupashiwa kiporo![emoji23]...huyo mwamba alomkataa mdogo wako apewe maua yake

unaeza kugongewa na wana na demu wako ambae hata sio single maza[emoji23][emoji23][emoji1787] mwanamke akiamua kugongwa anagongwa tuu mkuu[emoji16][emoji16]
 
unaeza kugongewa na wana na demu wako ambae hata sio single maza[emoji23][emoji23][emoji1787] mwanamke akiamua kugongwa anagongwa tuu mkuu[emoji16][emoji16]

You spoke my mind nilitaka kuandika same comment! [emoji23][emoji23]
Unagongewa ambae sio single maza na saa ingine mimba unabambikiwa.
It’s a gamble single maza or not
 
Single mom, umekuja na povu, tatizo watu wakisha zaa hawa achani, drama za bby dady, niliwahi kuwa na singo mom, mkipiga story lazima amtaje mzazi mwenzake. Katikati ya mzagamuo anakulinganisha na bby dady wake, ana sema baba F hawezagi kumwaga nje tukifananya lazima atumie mpira. Halafu anataka kuolewa, ukimuiliza
Kwa nini baba F haja muoa analeta Hadith za manenge na mandawa. Mara aseme baba F hawezi kuunganisha hapo mechi inaendelea. Akipiga story na watu wengine anamtolea mfano baba wa mtoto wake. Nilikimbia ila alikuja kukamata boya wake.
 

Darling I am happily married with 2 kids!
Natetea single mom coz shit happens tuna wadogo zetu na watoto wetu. Mtu wangu wa karibuni alishawahi zalisha binti Kisha akamuacha niliumia mno and I kept asking him unataka nani amuoe ukishamuharibia maisha?
Kama wanaume hawapendi single mamas it’s only fair wajifunze kumwaga nje au kutumia kinga!
 
Kuzaa sio tiketi ya kuolewa, wengine wana tegesha mimba ili waolewe. Kama ambavyo anayejua baba wa mtoto wake ni mama kadhalika ana ufunguo wa kubeba au kuto beba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…