atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
meghan markle mbona umekimbia tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtaani kwetu kuna jamaa (Mwenyekiti wa Mtaa) alioa single maza mwenye mtoto wa kike alivyokuwa mkubwa siku moja akawa anagombana na Mkewe mara paap mtoto wa mwanamke akampasua na chupa usoni. mimi sijui kuna tatizo katika ulimwengu wa kiroho kuoa Single MotherHii nimeshuhudia kuna brother alioa single mother mwenye mtoto wa kike.. Sasa wamefunga ndoa imebidi wakaishi kwenye nyumba ya huyo mwanamke, sasa balaa miaka imeenda jamaa karelax kajua mapenzi moto moto yataendelea mtoto amekua sasa akaanza vitimbi vya Foolish Age.
Sasa mwanaume akitaka kuwa mkali kama baba wa mtoto kuna muda mwanamke wake anavumilia anashindwa anaingilia mzozo kwa kutetea binti yake. Yaani anaumia tena kuona binti yake akikanywa.
Binti akaanza kuwa na kiburi maana anajua kwa mama yake yupo pekee yake na huyu sio baba mzazi so mama yake hawezi ruhusu amuadhibu wataishia tu kubishana na kumjibu jeuri.
Nilikuwa namuonea huruma sana yule brother namna ambavyo inabidi awe mpole eneo ambalo alitakiwa kuwa mtawala na mwenye sauti ya mwisho ila mwanamke anamnyang'anya ile sauti na mamlaka yake ya kiume na kuyavaa yeye kuwa na final say sababu wanaishi kwenye nyumba yake, na mtoto ni wake pekee.
Aiseee.
Tatizo tena kubwa sana.mtaani kwetu kuna jamaa (Mwenyekiti wa Mtaa) alioa single maza mwenye mtoto wa kike alivyokuwa mkubwa siku moja akawa anagombana na Mkewe mara paap mtoto wa mwanamke akampasua na chupa usoni. mimi sijui kuna tatizo katika ulimwengu wa kiroho kuoa Single Mother
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akusamehe kwa lipi sasa? yaani kuacha kuoa Single Maza Mungu akusamehe? wewe Mshukuru Mungu kwa kukuepusha kuoa Single MotherDada zetu kwa kweli mtusamehe tu, ushauri mzuri ni kwamba "kwa vyovyote vile usikubari kushika mimba kabla ya kuwa mke rasmi.
Kijana ambaye hana mtoto kuoa mke mwenye mtoto hiyo ni ngumu mno. Kama wapo ni wachache Sana, binafsi nilishindwa na mungu anisamehe kwa kweli daah
ndio ilikuwa janja yao miaka ya nyuma kidogo hapa kuwalaghai vijana kwamba wanaume waliozaa nao wanwachukia sana. kumbe nyuma ya pazia wanawasiliana na kupeana mzigo. sasa vijana wamesanuka hawawataki tena labda kuwagonga tu na kupoteaMnafiki huyo binti. Alikuwa anajaribu kukuchota tu hana lolote.
ndio huu ujinga wa kulelea mtotovwa mtu na kujifanya eti nampenda pamoja na mama yake. umtunze mtoto wa mtu kesho na kesho kutwa yuko kwa baba yake sasa sijui wewe utaitwa naniHapo Bibi amepigiwa video call "Jamani Bibi yangu". Baba anasema save namba ya bibi, ya auntie hiyo na Baba mkubwa na ndugu zako hawa hapa.
Weekend nakuja kukuchukua tuna tafrija kidogo pale nyumbani ya kukupokea Baraka ya ukoo wetu. Umeandaliwa zawadi na ndugu watakusubiria kukuona kwa shauku.
Hapo mtoto utamwambia nini sasa kwa baba yake? Akienda huko anapokelewa kwa shangwe kama mkuu wa wilaya kaja kufungua Zahanati mpya.
Kipindi nikiwa kijana 26 yrs nilikuwa na single mother kwenye mahusiano.Mungu akusamehe kwa lipi sasa? yaani kuacha kuoa Single Maza Mungu akusamehe? wewe Mshukuru Mungu kwa kukuepusha kuoa Single Mother
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie msikubali kumwagia ndani au kutokutumia ndom,Ili kuepuka haya,vp wale wanaobakwa?( )Dada zetu kwa kweli mtusamehe tu, ushauri mzuri ni kwamba "kwa vyovyote vile usikubari kushika mimba kabla ya kuwa mke rasmi.
Kijana ambaye hana mtoto kuoa mke mwenye mtoto hiyo ni ngumu mno. Kama wapo ni wachache Sana, binafsi nilishindwa na mungu anisamehe kwa kweli daah
Wewe uliyeoa mke rasmi ndio uliyempa mimba single Maza[emoji3] akawa single ambaye Kwa sasa unamnanga jukwaani,duuuhwamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
(HAPA NDIPO LILIPO TATIZO SUGU, KUPITIA MAWASILIANAO NA HUDUMA KWA MTOTO. HABARI YA KUFANYA MATUSI HAIKWEPEKI. HII IKO WAZI NA HAINA UBISHI.HUYO NI MKE WA PILI WA JAMAA)
Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
(HAIJAWAHI TOKEA MTOTO WA NJE AKAWA NA URAFIKI AU UKARIBU NA BABA WA KUFIKIA. HAKUNA HIYO, KAMA UPO BASI NI KWA MSAADA WA UNAFIKI )
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
(KAMA BABA YAKE MTOTO ALISHINDWA KUISHI NA MAMA YAKE, MIMI NI NANI WA KUWEZA?)
KIKUBWA ENDELEENI KUZAA,KUWA SINGLE MAZA NI FASHENI.
Mkiambiwa msijenge viwanja vya watu hamsikiiHakuna kitu inaumiza eti anakuaga natoka naenda sehemu halafu unakuja kufumania liko na mzazi mwenzake,halafu anaanza kujitetea eti ohh nilikuwa nimefuata matumizi ya mtoto...
ulimwongezea machungu mkuu. so sadKipindi nikiwa kijana 26 yrs nilikuwa na single mother kwenye mahusiano.
Akataka nimwoe nikamweleza sitakuoa kwa kuwa najijua nilivyo.
Kila nikitaka kumwacha ananing'ang'ania anakuja na kilio juu ooh nimekuzoea, ananipa mi napiga akapata ujauzito, hapo ndipo alitaka kuhamia kwangu mara baada ya kujifungua. Kilichoendelea ndiyo nasema mungu anisamehe
No single mothers No stress za kugongewa na kupashiwa kiporo![emoji23]...huyo mwamba alomkataa mdogo wako apewe maua yake
unaeza kugongewa na wana na demu wako ambae hata sio single maza[emoji23][emoji23][emoji1787] mwanamke akiamua kugongwa anagongwa tuu mkuu[emoji16][emoji16]
Single mom, umekuja na povu, tatizo watu wakisha zaa hawa achani, drama za bby dady, niliwahi kuwa na singo mom, mkipiga story lazima amtaje mzazi mwenzake. Katikati ya mzagamuo anakulinganisha na bby dady wake, ana sema baba F hawezagi kumwaga nje tukifananya lazima atumie mpira. Halafu anataka kuolewa, ukimuilizaWanaume kuna wakati mnashangaza sana. Unakuta mtu anasema hawezi kuoa single mama…. Hebu tuambieni kipi bora kuoa single mama ambae Yes alikosea but katunza mimba Kazaa mtoto na sasa ametulia Kajifunza kutokana na makosa AU bora kuoa binti alie bwia ma contraception hadi kizazi kimepinda au katoa mimba mpka kizazi kina makunyanzi utamuoa hata msipate mtoto? Kipi bora???
Wengi humu ni wazazi wa mabinti na wazazi watarajiwa unajuaje binti yako hata zaa kabla ya ndoa? Je vijana wakija kuonyesha interest utawaambia usimuoe binti yangu ni single maza?
Wangapi humu ni zao la single maza? Hivi mnavyo andika humu ndivyo mnavyoangalia mama zenu kua huyu Hana thamani ni single maza?
Na mshawahi kujiuliza anaempa binti mimba akamuacha yeye akaenda kuoa a fresh girl (as you think) is he not as guilty as well ???
Natamani ifike mahala jamii yetu isimnyooshee binti kidole kisa ni single mom bali tujikite pia kwenye kuongea na vijana wetu as they are also “single dads” na kuna mabinti pia hawatataka single dads kwa kuogopa pia baby mama dramas so it goes both ways!!!
Single mamas sio shida kikubwa jiridhishe kwamba ametulia na anajiheshimu hata Kama baba mtoto yupo kwenye picha, kuliko kuoa binti ambae anabwia ma P2 kila mwezi na Maria Stopes Ana Loyalty card!
Disclaimer: Read this with an open mind maana mtahisi ni maoni ya single mom which is quite the opposite [emoji3577]
Single mom, umekuja na povu, tatizo watu wakisha zaa hawa achani, drama za bby dady, niliwahi kuwa na singo mom, mkipiga story lazima amtaje mzazi mwenzake. Katikati ya mzagamuo anakulinganisha na bby dady wake, ana sema baba F hawezagi kumwaga nje tukifananya lazima atumie mpira. Halafu anataka kuolewa, ukimuiliza
Kwa nini baba F haja muoa analeta Hadith za manenge na mandawa. Mara aseme baba F hawezi kuunganisha hapo mechi inaendelea. Akipiga story na watu wengine anamtolea mfano baba wa mtoto wake. Nilikimbia ila alikuja kukamata boya wake.
Kuzaa sio tiketi ya kuolewa, wengine wana tegesha mimba ili waolewe. Kama ambavyo anayejua baba wa mtoto wake ni mama kadhalika ana ufunguo wa kubeba au kuto beba.Darling I am happily married with 2 kids!
Natetea single mom coz shit happens tuna wadogo zetu na watoto wetu. Mtu wangu wa karibuni alishawahi zalisha binti Kisha akamuacha niliumia mno and I kept asking him unataka nani amuoe ukishamuharibia maisha?
Kama wanaume hawapendi single mamas it’s only fair wajifunze kumwaga nje au kutumia kinga!