Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Bila ya shaka uyo mwanaume ni member mwenzetu humu na ni vizuri kabisaaaa alivofanya


#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
 
Kulikuwa na haja gan ya kuingia JF na kutulaumu wanaume wote, ilihali muhusika yupo na una uwezo wa kumfikishia ujumbe bila sisi kutuhusisha?

Anyway hakuna mechi inayoanza na matokeo ya 1-0 (moja bila) la msingi mkamateni huyo mwanaume na mumpe elimu mpaka aelewe somo, msikubali aende hivi hivi,

Mdogo wako umri utamtupa mkono bila ya ndoa, na akikaa kizembe bila kumpambania mwanaume anayemtaka, basi atakufa na Upwiru wa usingle mother, mlizoea ninyi ndio tunawahangaikia, lkn dunia iendako ninyi ndio mtahangaika kupata mabwana na hamtowapata[emoji23].

Vitu vizuri vinapambaniwa, mpambanieni huyo mwanaume mpaka mumpate.
 
Kwa stori ilivoenda ni kama mda wote jamaa alikuwa anaviziwa tu na taarifa imetua kwa mshangazo juu

Hata mimi ningeingia mitini
 
Mbon
Jamaa ana akili sana...Tutawafundisha nini watoto?? Ujumbe mzito sana huo usikimbilie kumlaumu ati anaroho mbaya..mdogowako ni mzinifu akamtafute mzinifu mwenziwe,wapo wengi tu masokoni huko.
 
Binti/Mwanamke akizaa kabla ya ndoa ni ngumu sana kupata ndoa hili jambo ni hatari sana mabinti wengi na vijana hawaelewi yaani mmoja anaharibu maisha ya mwingine, mwingine anampa laana mwingine maisha yao yote wanaishi kama digidigi hawaeleweki
 
Mkiambiwa acheni kuzaa zaa hovyo kabla hujaolewa mnajidai oh mimba bahati mbaya. Hamna kitu kama hicho. Hakuna mechi inaanza moja bila.
 
Vibishi hivyo ata uvieleze nini vinajidai vijanja. Sasa ngoja like suala la ndoa ndio hapo vinakuwa vipole🤣🤣🤣🤣
 
Masingke maza ni wakugegeda tuu hamna kuoa
 
huyo mume ndo mimi wa yule dada umeamua kuja kunianika humu kweli ?? ila mtoto huwa anakuja kusema huyo sio baba angu mzazi au wa kambo neno mbaya sana hili basi tu
 
Kwanini hajaolewa
 
Usituzuge,,huyo ni wewe mwenyewe. Acha kusingizia eti ni mdogoako. Acha kumfubaza mtoto wa watu utakula ulikopeleka mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…