Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Case closed [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Screenshot_20230602_222154_Instagram%20Lite.jpg
 
Kama weww ndiye mshauri wa mdogo wako, basi picha lote limejichora kuwa wote ni vikapu.
Pia, kwa kuwa jamaa aliyemzalisha mdogo wako aliamua kumpiga chini na kwenda kuoa mwanamke mwingine, hapo tayari picha linaonyesha huyo mdogo wako ni gunia la misumari.
Usiulize wanaume wana matatizo gani hata wakatae kuoa wanawake wenye watoto, ungemuuliza mdogo wako ana matatizo gani hata akakubali kubebeshwa mimba?
Kama unakutana na mwanaume halafu unajua yeye si aliyekusababisha uende labor kwa mara ya kwanza basi kubali kuwa huna sifa ya kuomba au kulilia ndoa kwa mwanaume huyo. Kama umepoteza sifa ya kumpatia uzao wa kwanza kwako mtoto wa mwanaume ulie naye, basi jifunze kukaa kimya, una haki ya kumsumbua hata kwa kumfanyia fujo uliyezaa naye, lakini si mwanaume mwingine
 
HUYO NDIO MWANAUME RIJALI SASA, MASINGO MAZA WOTE MKAOLEWE NA MLIOZAA NAO... MWANAUME NA AKILI ZAKO TIMAMU HUWEZ KUISHI NA SINGO MAZA... Labda kumzalisha na kumuacha kama alivyo achwa...
Mwanaume usijekurogwa ukaoa singo maza, utakuwa unafuga chatu atakayekuja kukumeza...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI
Nyie mbona mnawatoto na wanawake wanakubali mnatuonea tu
 
Huwa nawafikiria single father's kwakweli na mm natak nione makaburi ya wanawake mlozaa nao 😀
Kwa wanaume hali ni tofauti, ila kama mnataka na hili mjiringanishe karibuni. Kwani sisi tuna noma basi? Sisi hatutaacha kuzalisha.
Sisi mkikaa sawa tunawapiga mimba tunateleza, kuna mafala ndiyo wameumbwa kwa ajili ya kutulelea watoto wakati sisi tunaishi.
 
Kwa wanaume hali ni tofauti, ila kama mnataka na hili mjiringanishe karubuni. Kwani sisi tuna noma basi? Sisi hatutaacha kuzalisha.
Sisi mkikaa sawa tunawapiga mimba tunateleza, kyna mafala ndiyo wameumbwa kwa ajili ya kutulelea watoto wakati sisi tunaishi.
Kumbe eeh mtu amekuzalia mtoto umuite fala Sasa fala si wanakutanaga na fala mwenzie wanazaa,acheni hizo Hao watoto nyie ndo babazao na msipowaoa kunawenzenu watawaoa na watoto wenu wataelelewa vizuri tu
 
HUYO NDIO MWANAUME RIJALI SASA, MASINGO MAZA WOTE MKAOLEWE NA MLIOZAA NAO... MWANAUME NA AKILI ZAKO TIMAMU HUWEZ KUISHI NA SINGO MAZA... Labda kumzalisha na kumuacha kama alivyo achwa...
Mwanaume usijekurogwa ukaoa singo maza, utakuwa unafuga chatu atakayekuja kukumeza...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI

Afu uo uchumi ukiimalika unawaachia ndugu zako wanagombaniana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] dunia hiii noma na nusu[emoji28][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom