Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Single mother wanapitia magumu sana kwenye mahusiano yao mapya, wachache ndio wamewaharibia wengine. Cute wife acheni hizo tabia mnaharibia wenzenu wenye tabia nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata kweli ila dunia ya sasa wanaume tumeshtuka. Dunia ya zamani (kabla ya sim na usafiri rahisi) binti akisha zaa anaweza kupata mume na wakaishi vizuri tu kwa sababu mawasiliano yalikua magumu.Asikate tamaa, atampata tu
Kikongwe umekuja safi sanaNdiyo uchafu wa uasherati huo. Kalikoroga alinywe.
Wanakuwaje hao? Sifa zaoDarasani wanaitwa Willing student
Mi pia ni mmoja waoWanakuwaje hao? Sifa zao
Mzee ana jambo kubwa tu.Mzee alikuwa anaongea kama chizi ila ukikaa chini nakuanza kufikiri anachoongea unaona alikuwa na logic
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
na cd ya mazishi tuione. 🤣Hakuna Mume wa ndoto duniani, huyo mwanaume atakuwa member, tulisema hakuna kaburi, hakuna kuoa single Mama
Mnafanya kile mnachoelekezwa kwa asilimia kubwaMi pia ni mmoja wao
Hupenda kufanya Mambo yao Kwa umakini mwingi sana na uhakika
Hatubahatishi
Adhabu ni Kali sana ikiwa tume violate rules and regulations.Mnafanya kile mnachoelekezwa kwa asilimia kubwa
Single mother wanapitia magumu sana kwenye mahusiano yao mapya, wachache ndio wamewaharibia wengine. Cute wife acheni hizo tabia mnaharibia wenzenu wenye tabia nzuri
Adhabu gani?Adhabu ni Kali sana ikiwa tume violate rules and regulations.