Mbaya zaid Kama huyo mwizi naye angekuwa ana Ngoma,jamaa hamna Rangi angeacha ona yanmuhimu afanye uchunguzi zaidi ndio ataujua ukweli,akimuuliza mke wake,atakataa tu,kwani jina sio ushahidi tosha.na kama kuna ukweli fulani,bora amkaribishe{ila inataka moyo}huyo mke anaweza kurudi nyuma kwa alilotaka kulifanya.kuna jamaa mmoja ali suspect mke wake ana cheat,alifanya juu chini akajenga mazoea na huyo jamaa,katika kumzoea,huyo mwizi alijua kama yule mke,ni mke wa huyo jamaa,yule mume,akamtungia storu kuwa ameathirika,yule mwizi alimuacha yule m.ke,aliogopa
Yan akirogwa tu akafanye fujo, Cool hata kama alikuwa hajammega wife wa msela hiyo ndio itakuwa enough ticket ya wife wake kumegwa na Cool.Yani tuko pamoja sn,
kushusha tsunami ndo unawapa nguvu ya wao kuendeleza uhusiano bze at that time nyumba itakuwa haina amani kila mtu anahasira na mwezie so itakuwa muafaka kwa wao kufarijiana baada ya tsunami.
Akichelewa kuchukua hatua mkewe atamegwa!
Mkirua ngikumiss sana
Umeongea na hapo ndio njia ya kumkamata mwizi wake kama anaibiwa na reaction ya wife itaonyesha ni nini kinaendelea
<br />mali inaliwa hiyo,mbona wazi kabisa, mke kashachanganyikiwa na katerelo ya kaku, jina linaonekana la kule jirani