Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Mbaya zaid Kama huyo mwizi naye angekuwa ana Ngoma,jamaa hamna Rangi angeacha ona yanmuhimu afanye uchunguzi zaidi ndio ataujua ukweli,akimuuliza mke wake,atakataa tu,kwani jina sio ushahidi tosha.na kama kuna ukweli fulani,bora amkaribishe{ila inataka moyo}huyo mke anaweza kurudi nyuma kwa alilotaka kulifanya.kuna jamaa mmoja ali suspect mke wake ana cheat,alifanya juu chini akajenga mazoea na huyo jamaa,katika kumzoea,huyo mwizi alijua kama yule mke,ni mke wa huyo jamaa,yule mume,akamtungia storu kuwa ameathirika,yule mwizi alimuacha yule m.ke,aliogopa